Wanawake Wenye Shepu Nzuri Wana Sura Mbaya

Habari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?

Nawasilisha
Haiwezekani mtu kuwa na sura mbaya halafu akawa na shape nzuri wakati huohuo. Sura si sehemu ya shape?
 
Wapo kibao wazuri kila idara.

Na by the way who cares about Sura???
Uzuri wa nyumba Choo
 
Katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu hajaumba sura mbaya wote ni wazuri.
 
Habari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?

Nawasilisha
Weka picha tafadhali
 
Mmmmh! sasa hapo ndugu zangu bora kipi? nyuma hihaaa,shepu kang'a,sura chururuuu,miguu kankandu kankandu lipi jema?
 
Weka picha tafadhali
IMG-20171219-WA0001.jpg

89f7839f64b2538b1a3503a4b236692e.jpg
 
Habari wadau?
Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko?

Nawasilisha
Utafiti usio rasmi ngoja waje waliokamilisha utafiti
 
Back
Top Bottom