Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
we unafahamu ndevu zipi? "ndevu"...maeneo ya kidevu kuzunguka kidevu..
wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.
Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
Haya wenyewe wamejibu. Mada ifungwe jamani.Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
Hahahahahahahahah Advera Senzo spokeswoman wa maafande wetu huyo.Kama ni hivyo huyu asingekuwa ndava
![]()