Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,410
Hana ila apo kichwan umeona alivyosukaMbona hana jawline huyu
Hana ila apo kichwan umeona alivyosukaMbona hana jawline huyu
Hao wenye jawline mbona kama huwa na visiran sana?Ohh yes yupo vizuri ila mi napendelea jawline aseee 🚶🚶
Yes ndo maana napigwa ban kila leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ubahili tuNakazia wapate na salamu zangu wale wanaosuka twende kilioni na inawapendeza sana
Ndio ulikofia?
😂 wala sio ni kile kitu roho inapendaUbahili tu
wanaofanania hivo....Ndio ulikofia?
Nishaona kama wa4 ivi ni shidaMmmh sio wote mkuuu, ni wachache sana ila wanatofautiana
Hao sinaga mzuka naowanaofanania hivo....
Sanaa mkuuHaha kila mtu na chaguo lake