KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,493
- Thread starter
- #61
Umekoment nje ya mada mkuuuSIPENDI AMANI mbona unanidislike mie sipendi 😂😂😂
Ndo maana nime dislike
Umekoment nje ya mada mkuuuSIPENDI AMANI mbona unanidislike mie sipendi 😂😂😂
mi hapo ndo nyumbani 😂Hao sinaga mzuka nao
Na shem wangu kwa bro nae ni wa hivyo, hiyo kisirani yake sio ya nchi hii😁😁😁😁😁 Akia Mungu duuuh asee
Labda kuna ka ukweli hapo
Una nyota ya wanafunzimi hapo ndo nyumbani 😂
hamna mkuu, wapo wengi wasio wanafunzi wanajiweka hivo 😂Una nyota ya wanafunzi
Kala chuma kweli 😂Duuuh aseee basi bro wako kala chuma hicho 😁😁😁😁
Ngoja nisitie neno zaidi kwa style hiyo ya mnyoohamna mkuu, wapo wengi wasio wanafunzi wanajiweka hivo 😂
najua wengi mnadhani ni ya kimasikini....Ngoja nisitie neno zaidi kwa style hiyo ya mnyoo
hapana ila hiyo style ina sifa zakenajua wengi mnadhani ni ya kimasikini....
hebu nielimishe kidogo nisije nikaangamia 😂nahisi kuna jambo unanificha...hapana ila hiyo style ina sifa zake
yabwage tu hapahapa😂 sisi si wanaume.... si tuna vifua😂
Ni hatari hakikisha unatumia kinga mkuuyabwage tu hapahapa😂 sisi si wanaume.... si tuna vifua😂
Kwani hao mademu wana utelezi😀 mshamba_hachekwi anapenda vitoto vya sekondari au wasabato
Acha kumzingua🤣🤣🤣🤣🤣 bora yeye kuliko Analyse na mashangazNi hatari hakikisha unatumia kinga mkuu
😂 pacha wake Johnnie WalkerKwani hao mademu wana utelezi😀 mshamba_hachekwi anapenda vitoto vya sekondari au wasabato