Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Hahahahhahahhahaha hata moja hamna.
Nshazeeka Sikh hizi.
Ile IKULU ya Blue House kule Korea, Na ile IKULU ya WHITE HOUSE kule Marekani zote hazijawahi kuzeeka.

Pamoja na kuwa zimedumu kwa miaka mingi sana, Isipokuwa zina safishwa, usafi wa hapa na pale na marekebisho madogo madogo ya hapa na pale.

IKULU ikichoka na kuanguka SERIKALI itaendeshwaje!?!!
 
Back
Top Bottom