Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Mademu ambao ukiwahtaj wao hawana longolongo chap anakuja Tena kwa nauli yake

Napendekeza vitambulisho vyao vya NIDA vitolewe ndani ya siku 3 tu toka walivyoomba wasivicheleweshe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naam, Ofa ya vipodozi na kusuka wapewe kwa mwaka mzima.

Na zaidi ya hapo, Zile sizoni/series za KITURUKI na KIFILIPINO waangalie bure kwa mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom