Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume wanaolia lia kisa wanawake

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
490
1,461
Wasalaaaaaam…. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati…

Unajua katika chunguza chunguza yangu ndani ya miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume wanaolia lia eti kisa mwanamke ni mzuri basi jamaa atajiliza liza weeeee atajiliza weeeeee ilimradi tu aonewe huruma acheni hizooo mbona mademu hawalii lii kisa sisi.

Baadhi ya wanaume wanajidharaulisha sana pindi wanapomuona demu kisa tu ana bonge la taaaako alafu ni mweupe au maji ya kunde au chokolate basi lijamaa ndiyo duka lake linafilisikia hapo na demu akishamkomba tu mtaji wa bwana sele…. sele anabaki kulaani sasa aaah wanawake wa siku hizi ni wa hovyo sana kumbe ukichunguza kwa makini utagundua hapo bwana sele ndiyo wa hovyo kiwango cha lami.

Imefika hatua eti wanawake wanaona kama vile sisi hatuwezi kuishi bila wao ila wao wanaweza kuishi bila sisi na huu upuuzi tumeutaka wanyewe kwa baadhi ya wanaume kuwanyenyekea sana hawa mademu… ifike mahali kila mtu aringe na alicho nacho *****.

Demu akishajiona anatako tu anajipa access ya kushobokewa hadi na viongozi wa dini mamaaee na kweli inakuwa hivyo what the hell is this?

Sasa hivi nina mwezi mmoja naingia zangu gym nakula tizi moja matata sana na mwili umekatika hatari sasa hapa nilipopanga kuna demu anabonge la taaaaakooo kama umeziona zile muvu za inye za mzee majuto nafikiri utanielewa vizuri…. Majamaa wanajikomba sana kwake ila mimi niko mbali simshobikei kama alivyozoea kushibokewa na mapimbi wengine….

Anakaaga nje anafua ngua na kanga moja mazee sasa na mimi nikitoka natoka kifua wazi mamaae anaone kifua kimekatina na kina manyoya kibao kama nyani sasa kumbe demu anadata nikitokaga hivyo nje kifua wazi anawaambia wale majamaa majirani nao wananiambia ( imefika hatua sasa kila mtu aineshe alichonacho.. weka tako niiweke kifua cha van damme). Na ligi imemshinda maana kashaanza kunisifia kuwa yule kaka anakifua kizuri sijapata kuona na taarifa nimezipata hahaha.

Sasa hivi ifike hatua wanaume tujiupgrade kama walivyojiupgrade wao hakuna kulilia mtu hapa….. Yaani kibao eti kimegeuka kabisa yaani zamani wanawake walikuwa wanalilia sana wanaume eti leo hii wanaume ndiyo wanalilia sana wanawake aiseee inashangaza.

Mimi sasa hivi nikionaga kundi la wanawake wa mujini wanapitisha matako yao na mimi navua shati na wao ndiyo wanaanza kuangalia kwa kutamani kukishika hahahaha wazeee tujipende acha kuishi umekondeana kama mbuzi aliyezaa alafu mtoto akafariki, pigeni tizi na msishobokee mtu. OOOVER.

S
 
Skuizi manhood hakuna , wanaume masculinity imeyeyuka yote ndio maana kesi za kijinga MMU haziiishi kila siku,mbya zaidi ukishaur kitu positive cha kiume watu wanakua wabishi,yakiwakuta wanakuja humu

Mfano juzi kuna uzi umewekwa Mwanaume anaomba ushauri kama akimuoa dada poa atatulia, mbaya zaidi kuna wanaume wanashauri amuweke tu ndani atatulia

Mwingine leo kafungua uzi demu wake kiburi hasikii haelewi hamuheshimu,anaomba ushauri afanye nini ili mpenz wake amskilize,sasa unashangaa ni Mwanaume gani anaruhusu Disrespect kweny nyumba yake na asijue cha kufanya.

Tumesema jifunzeni hata kweny vitabu vya kiume vitawasaidia hamtaki shauri yenu.

Haya wanaume mnaotaka kurudisha unaume wenu tafuten The Unplugged Alpha by Richard Cooper au The rational male by Tomassi Rollo au tafuten hata speech za Andrew Tate huko YouTube vitawasaidia..

Tupo kweny dunia ya feminism hatar sana kwa Wanaume.
 
* ( imefika hatua sasa kila mtu aineshe alichonacho.. weka tako niiweke kifua cha van damme)*

show show babu naqubali

Na ujanja wao wote ila wakiona tu kifua kilichokatika vyema kwa zoezi alafu kina garden love kwa mbali wanapagawa vibaya mno wanakuangalia mara mbili mbili…. Sasa na mimi ndiyo nawakomeshea hapo na dawa ndiyo hiyo akitingisha tako vua shati alafu usimuangalie utaona yeye ndiyo atakuja kujichekesha hapo… hii nimeiapply na ikafanya kazi kuanzia beach mpaka nyumba za kupanga.

Nikiona demu anaenda bafuni na kanga moja alafu kaifunga kimitego mitego na mimi namsubiri nje ya mlango wa bafu nikiwa kifua wazi, chini nimevaa boxa tu huku na ndoo yangu ya maji mkononi….

Sasa hapo ndo tunapishana mimi naingia bafuni yeye anatoka huku ananitazama kwa matamanio sehemu ya kifuani na kwenye boxa. Nawakomeshea hapo tu.

Aweke ugoko niweke chuma…….

Sasa hivi ni tit for tat….. akiweka tako wewe weka kifua na chini piga boxa alafu dudu iwe imejichora kwenye boxa mzee.
 
Eeenhe mkuu umesema ukweli ila ipo hivi

Bo nge la ta ko li na u ta mu wa ke u ki wa u na li to mpa na ku li fi _ ki cha kwa nyu ma na ku li mwa gi a vya ku to sha

Naelewa sana kamanda kuwa tako lina raha yake ila wanaume tunajirahisisha na kuwanyenyekea sana wanawake wa hivyo na kufanya wajione wana haki ya kushibokewa na kila mtu kulingana na idadi ya watu ambao tayari wamemshobokea kitu ambacho sio kizuri.

Ukitaka uone wanaume tunavyofanywa mazuzu na hawa wanawake wenye makalio na shepu nzuri nenda sehemu za bar….. mzee watu wanamwaga salio kama hawana akili nzuri….. demu ananunuliwa vinywaji vya gharama yeye na mashosti zake kama nane hivi kisa tu demu ana tako aiseee jamaa kila akiletewa bili anacheua pesa tu asubuhi mtu anaamka alizima kwenye meza aliyokuwa analewea na kakombwa mshahara wote na demu aliyemkuta bar kisa tu demu ana tako.

Inatia hasira kuona wanaume wenzio wanageuzwa mazuzu na mademu wenye makalio na shepu nzuri.

Alafu walivyo wahuni wanafanya maendeleo huko wanakoishi na wewe uliekombwa pesa ukazitafute upya kisha utampelekea tena na tena… aiseeeeeeeeee tubadilikeee.
 
Skuizi manhood hakuna , wanaume masculinity imeyeyuka yote ndio maana kesi za kijinga MMU haziiishi kila siku,mbya zaidi ukishaur kitu positive cha kiume watu wanakua wabishi,yakiwakuta wanakuja humu

Mfano juzi kuna uzi umewekwa Mwanaume anaomba ushauri kama akimuoa dada poa atatulia, mbaya zaidi kuna wanaume wanashauri amuweke tu ndani atatulia

Mwingine leo kafungua uzi demu wake kiburi hasikii haelewi hamuheshimu,anaomba ushauri afanye nini ili mpenz wake amskilize,sasa unashangaa ni Mwanaume gani anaruhusu Disrespect kweny nyumba yake na asijue cha kufanya.

Tumesema jifunzeni hata kweny vitabu vya kiume vitawasaidia hamtaki shauri yenu.

Haya wanaume mnaotaka kurudisha unaume wenu tafuten The Unplugged Alpha by Richard Cooper au The rational male by Tomassi Rollo au tafuten hata speech za Andrew Tate huko YouTube vitawasaidia..

Tupo kweny dunia ya feminism hatar sana kwa Wanaume.

Aisee kweli…. Na kuna kaupepo flani kameingia siku hizi wanaume tunakandamizwa sana na kupata taabu kibao huku favor zote nzuri nzuri akipewa mwanamke kwanza…. Aiseeeee inasikitisha ufeminist umeshamiri mbayaa!!!!!
 
Skuizi manhood hakuna , wanaume masculinity imeyeyuka yote ndio maana kesi za kijinga MMU haziiishi kila siku,mbya zaidi ukishaur kitu positive cha kiume watu wanakua wabishi,yakiwakuta wanakuja humu

Mfano juzi kuna uzi umewekwa Mwanaume anaomba ushauri kama akimuoa dada poa atatulia, mbaya zaidi kuna wanaume wanashauri amuweke tu ndani atatulia

Mwingine leo kafungua uzi demu wake kiburi hasikii haelewi hamuheshimu,anaomba ushauri afanye nini ili mpenz wake amskilize,sasa unashangaa ni Mwanaume gani anaruhusu Disrespect kweny nyumba yake na asijue cha kufanya.

Tumesema jifunzeni hata kweny vitabu vya kiume vitawasaidia hamtaki shauri yenu.

Haya wanaume mnaotaka kurudisha unaume wenu tafuten The Unplugged Alpha by Richard Cooper au The rational male by Tomassi Rollo au tafuten hata speech za Andrew Tate huko YouTube vitawasaidia..

Tupo kweny dunia ya feminism hatar sana kwa Wanaume.
😢😢😢😢 Sasa ndo uje uniseme huku mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom