Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Kula mmoja ana side yake fulani ambayi akiamua kuifungua utabaki unashangaa.

Katika swala la mapenzi (specifically sex) hakuna kitu kinaitwa heshima, ni swala linaloongizwa na hisia na Ili uenjoy ni lazima u-meet na takwa la hisia zako.Mfano mimi, nilichokiandika humu na status ya maisha yangu mtaani, na heshima ninayopewa ni vitu viwili tofauti kabisa.Ni wanawake tu niliowahi kuwagegeda ndo wanaozijua huu upande wangu wa shilling.Thanks to jF hapa tunakuwa anonymous.

Kwahiyo yoyote yule atakaekuchukulia vibaya kwa ulichoandika kwenye huu uzi, hatakuwa sawa kiakili maana ni uzi specific kwa issue hizi na wote humu ni +18 bila kusahau anonymous status tulizonazo humu.

NB: Warudishe jukwaa letu.
Ninakazia turudishiwe jukwaa letu.
 
Wale madem wakati wa mikito husema 'taratibu mume wangu au inatosha mume wangu ilihali wewe siyo mumewe au haujamuoa bado.......naagiza haraka sana wapewe password zote kuanzia fb, insta, email, JF, mpesa, airtel money, ATM na za simu
 
Wanaume mnaojua kukatika jamani.
Tunawasalimia popote mlipo.
Mimi niliye mtiiifu kwenu asbh mchana jioni na usiku.
Nasema hiviiii endelezeni Juhudi za kujenga Taifa letu changa Tanzania.

Naahidi kuendeleza utiifu huo.
Wenu katika ujenzi wa raha.
Snowhite.
Hawa wanaokatika wapewe siti ya mbele kabisa......yaani tuwape na mkoa wa dodoma na nyongeza singida..... na wale wanaokatika kiusatadi huku akisugua pande zote tunawaongezea mkoa wa mwanza na singida!!!
 
Back
Top Bottom