Aisee bora umeliona hili, in my lifetime nlikutana na mwanamke mmoja tu aliye bright kichwani, mtoto wa ki zanzibar ila ujana ukanizidi.Tangu hapo nakutana na watu dah! Mtu unamuuliza nikikupa 500k utafanya biashara gani?? Anakujibu nipe kwanza ndo ntajua nifanye nini
Hao smart nilikuwa nakutana nao kabla sijawaza kuoa. Nikirudisha majeshi nyuma naambiwa wameshaolewa.
Ila kwasasa kila nayekutana naye ni wale wale. Mnaonana leo kesho kutwa tu umeshajua tabia zake zote.
Pia utapokutana na ke, usimwambie kama unataka kumuoa fasta.
Ila yote kwa yote ni kuzidi kumwomba Mungu atusaidie sana.
Pitia na ujumbe kwenye picha[emoji116] chini.View attachment 1287890
Kweli huwa inachosha.. Mi wa kwangu, kafa Mugabe akaniuliza hivi alikuwa Rais wa wapi? [emoji3][emoji3]
Wivu tuu
Utakua huna chura Wewe
Mwanamke anatengenezwa sio kama anakua tu kama magugu. tengeneza mkeo atakua na akili
HahaaJifariji mkuu, ruksa kujitekenya.... ‘akili’ haitengenezwi.
Akili inatengenezwaJifariji mkuu, ruksa kujitekenya.... ‘akili’ haitengenezwi.
ndiyo maana tunatengenezaSamaki hakunjwi akiwa amekauka
A note to takeInategemea na mazingira unayoshinda sana, badili mazingira utakuja kunishukuru mkuu
kwani wenye chura wengi ni mapopoma?yaani hawako smati???Kama unapenda sana chura hilo nalo ni tatizo,.
"kila mwanamke ni SMART na mwenye AKILI kulingana na mwanaume aliyenaye."Mimi nafikiri kila mwanamke ni SMART na mwenye AKILI kulingana na mwanaume aliyenaye.
Chukua tu mfano wa kitu kilichooza na kunuka, wewe harufu itakukera na utaona ni uchafu lakini nzi huhisi harufu inayovutia na hufurahia chakula bora.
Wakati mwingine Mungu hutupa tunachostahili na sio tunachokitaka.
Huenda ukaona umepata mwanamke SMART kumbe mjuaji.
Hitimisho;- "Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali MKE MWENYE BUSARA, mtu hupewa na BWANA. Mithali 19 : 14. (Biblia).
Kwamba wanawake flat ndo wenye sifa tajwa?Kama unapenda sana chura hilo nalo ni tatizo,.
Akili inatengenezwa
"Uwezi kuchukua kisoda ukafunika kopo la toss......."Sjui kama unajua kila mfuniko unafunika kopo lake mtoa mada?? Uwezi kuchukua kisoda ukafunika kopo la toss.......
Mtoa mada mwenyewe nshaona ajielewi wala ajui mtu smart ako vipi"Uwezi kuchukua kisoda ukafunika kopo la toss......."
You made ma day [emoji23] [emoji23]
"Wanawake smart wanawajua wanaume just from how they express their views and potentials hawana Mambo mengi hata Kama they are full of knowledge unless waguswe kwenye hayo maeneo yao"Cha kwanza Mungu
Cha pili association zako
Cha tatu mazingira
Cha nne unaongea Nini Mana unaweza sema unajua vitu halafu mjuaji.
Wanawake smart wanawajua wanaume just from how they express their views and potentials hawana Mambo mengi hata Kama they are full of knowledge unless waguswe kwenye hayo maeneo yao
Well said boss!!!Na kuna siri ingine wanaume hawaijui wakati mwingine we play dumb kwa sababu wanaume wengi huwa na inferiority complex around a smart woman, Most of times mahusiano yanakuwa magumu cause a man thinks you are competing so inabidi ucheze levels za chini to make him comfortable.
Wapo mkuu Mimi huwa Sina tabia ya kudharau mawazo ya mtu aiseSoma vizuri. Kuna mwanamke anaweza akatoa reacture kama hiyo?