Wanawake wengine wana dharau sana

Wanawake wengine wana dharau sana

Mkuu unataka post zilizo serious tu? Hutaki utani kabisa?🤔
Nataka mkuu, ila kwenye feed kila nikifungua nakutana sijui na thread gani, mara "Niliwahi kuhamia nyumba mpya bila kufanya usafi nikapiga chafya wiki nzima je wewe umewahi kupitia kitu kama hiki?!?"

"Nimekutana na rafiki yangu wa utotoni aliwahi kunipiga kelbu je nimrudishie au nimuache, wewe umewahi kukutana na rafiki yako?"

LIKE SERIOUSLY?!?!!?!?!?!?!.
 
Umefanya nicheke! Dah inaboa lakini sasa utafanyaje zaidi ya kuzipita tu mkuu!

Humu ndani kuna rika za kila aina kuna vijana werevu na wazee wapumbavu! Kuhusu id latest sio swala, maana tunatofautiana mwingine akiwa idle upumbavu tu ndio unajaa, wengine wapo vijana wadogo sana ila wana maarifa mpaka unabaki kushangaa tu! Na kuna wazee ata akiquote unajiuliza hivi huyu mzima kweli? Ndio walimwengu chukulia kawaida tu mkuu!
 
Nashukuru kwa kunipa moyo mkuu nitajitahidi kujikaza nivumilie.
 
Back
Top Bottom