Wanawake wengine wana dharau sana

Wanawake wengine wana dharau sana

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,631
Reaction score
2,957
Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi.

Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers?

Goddamn sasa hivi vitu nitavifanyaje?

Mwana JF yeyote ajae tutoe kitu basi
 
huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers?
Anataka ufe na njaa, ishi humo!
giphy 78.GIF
 
Back
Top Bottom