Wanawake wengi wazuri wana mapungufu haya

Hii iko kisaikolojia zaidi,unapomuona mwanamke mzuri kinachokujia kichwani ni kuwa ni mzuri kwenye kila kitu kumbe sivyo ilivyo na kwa wabaya nako huwa ni vise versa.
 
ukifuatilia sana Wanawake wazuri warembo wenye figa pia sura nzuri ukiishi nae lazima atakuwa na mapungufu haya malaya, mjuaji, pia kwenye mapenz huwa ni wabovu sana aidha unakuta hayajui mapenz ila wengi wao unakuta mashine ni mbovu
.. huwa najiuliza sana huwa ni kwa nini ndiyo maana Wanawake wengi warembo ila unakuta hawaolewi au wanaachika.

Over use of the machine!
 
Back
Top Bottom