manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
ukifuatilia sana Wanawake wazuri warembo wenye figa pia sura nzuri ukiishi nae lazima atakuwa na mapungufu haya malaya, mjuaji, pia kwenye mapenz huwa ni wabovu sana aidha unakuta hayajui mapenz ila wengi wao unakuta mashine ni mbovu
.. huwa najiuliza sana huwa ni kwa nini ndiyo maana Wanawake wengi warembo ila unakuta hawaolewi au wanaachika.
.. huwa najiuliza sana huwa ni kwa nini ndiyo maana Wanawake wengi warembo ila unakuta hawaolewi au wanaachika.