Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

Ampinge mara ngapi, kuna siku alitoa comment ya ajabu ndipo kuanzia hapo nikawa simuelewi.... Alisema anawasi wasi hata hivyo vitabu vya MUNGU yaani Bible na Quran zinaweza kuwa si vya kweli ni maandiko ya wanaume wasanii wameandika ili kuwarubuni wanawake wawatawale..... Nikajisemea moyoni hivi hili toto lina akili sawa sawa hili.... Mbona kama taahira.....
Kama alifikia huku aiseh nahisi kuna kitu hakiko sawa
 
Wanawake wa huruma za mdomoni zsizokuwa na msaada wwte kufupsha women are only the best when they are our mother over
Yani..

Mfano mdogo tu..mwanamke anaweza kukaa na mwanamke mwenzie chumba kimoja wakaishia kuwa maadui(sio wote.wengi huishia kuwa maadui wakubwa)

Mwanaume anaweza kukaa nyumba moja na mwanaume mwenzie kwa muda mrefu na bado wakawa marafiki (ingawa pia sio wote.wachache sana huishia kuwa maadui)

Sijui nini shida
 
Nilishawahi panda kwenye daladala, nakushuhudia mdada akigoma kumpisha siti mwanamke mjamzito tena mimba kubwa tu. Alipishwa na jamaa.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hapo wa ajabu zaidi ni mwanaume mzima na suruali zake amekaa Kwenye siti anasubiri wadada wapishe..
Mwanaume gani anakaa akisubiri dada zake wasimame??
Ndo ubinafsi wenyewe huo.
 
Tatizo wanawake wengi wanaupendo wa unafiki sana, hawapendi wao kwa wao huoneana wivu wao kwa wao
 
Hapo wa ajabu zaidi ni mwanaume mzima na suruali zake amekaa Kwenye siti anasubiri wadada wapishe..
Mwanaume gani anakaa akisubiri dada zake wasimame??
Ndo ubinafsi wenyewe huo.
Kumpisha mtu wala haiangalii jinsia, ni matakwa na moyo wa mtu.

Huyo mwanaume aliyeachia siti alitoka nyuma na kumuita yule dada mjamzito akakae. Kwa mazingira ambayo yule mjamzito alikuwa kasimama,waliokuwa karibu wengi umri ulikuwa umeenda kiasi,ni wawili tu waliokuwa vijana, na wote wanawake. Kati ya hao vijana, mmoja alikuwa amebeba mtoto, nahisi alitoka clinic, mwingine ndio huyo aliyefungua dirisha na kuangalia nje as if hataki kujua ndani panaendelea nn.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Yani..

Mfano mdogo tu..mwanamke anaweza kukaa na mwanamke mwenzie chumba kimoja wakaishia kuwa maadui(sio wote.wengi huishia kuwa maadui wakubwa)

Mwanaume anaweza kukaa nyumba moja na mwanaume mwenzie kwa muda mrefu na bado wakawa marafiki (ingawa pia sio wote.wachache sana huishia kuwa maadui)

Sijui nini shida
Hii ni kweli kabisa
 
Kumpisha mtu wala haiangalii jinsia, ni matakwa na moyo wa mtu.

Huyo mwanaume aliyeachia siti alitoka nyuma na kumuita yule dada mjamzito akakae. Kwa mazingira ambayo yule mjamzito alikuwa kasimama,waliokuwa karibu wengi umri ulikuwa umeenda kiasi,ni wawili tu waliokuwa vijana, na wote wanawake. Kati ya hao vijana, mmoja alikuwa amebeba mtoto, nahisi alitoka clinic, mwingine ndio huyo aliyefungua dirisha na kuangalia nje as if hataki kujua ndani panaendelea nn.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kama umeshajua kumpisha mtu hakuangalii jinsia
Basi hata roho mbaya haiangalii jinsia.
 
Ukianzisha mada ya mwanamke kumpa/kumsaidia mume wake kipesa utawaona wanawake wanavyokuja speed na vimaneno vyao kua oooh "siwezi honga mwanaume" "siwezi toa hela yangu nikampa mwanaume",nk

pesa ya mwanamke,msaada wa mwanamke sio kwa mwanaume tu ila hata kwa mwanamke mwenzake kutoa ni kwa mbinde sana na ukiona mpaka kajitoa yeye muda/pesa yake ujue kuna external factors zimem push yeye kufanya hivyo la sivyo nakwambia asingejitosa.

tembea tu na mwanamke kisha mkipita njiani apite omba omba,utamsikia anasema "maskiniiiii huyu anateseka" baby hauna hela hapo tuwape,yani badala azame kwenye wallet yake atoe hela yake ampe yule omba omba,atakwambia wewe utoe yako na kwakua baby kashatoa go ahead huwa wanaume hatuna ubishi tunafungua wallet kilichopo unachomoa unampa yule omba omba.

yani kuna vitu vingi sana vinavyodhihirisha ubaya wa mwanamke,sema ni kwasabbu hawana uwezo lakini hawa viumbe wangekua wanauwezo ni hatari sana,matukio mabaya wanayoyafanya wanaume chanzo n wanawake,mwanamke amekaa akiamini kila tatizo mtatuzi ni mwanaume yeye kajiweka pale kama bosheni flani tu.

Akianguka mdada kwa matatizo ya kiafya hutoona mdada mwenzake anaenda msaidia hata kama atakua kaona,yani ukikuta mwanamke ana roho ana utu ana moyo wa nyama lazima atakua AGE imesogea ni mama flani mtu mzima sana ila hizi age 40 kushuka asee sio watu eti hawa.

imefikia mahali mimi nikasemaga wanawake huanza kuwa na utu wakishakaribia menopause,ila kabla ya kufika hicho kipindi hapa kati kati wenye utu na moyo wa kibinadamu ni mama angu tu na mama ake wewe unaesoma hii comment.
 
Kama umeshajua kumpisha mtu hakuangalii jinsia
Basi hata roho mbaya haiangalii jinsia.
Upo sahihi, roho mbaya haiangalii jinsia. Ila mada yetu inazungumzia upendo/kujaliana kati ya wanawake kwa wanawake, au wanaume kwa wanaume.

Ukiangalia in real life, kwenye circle yako men wapo very supportive kuliko women.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom