Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

Utalipia hizo sifa,we jimwambafy tu
Nitalipia kwako!au kwa nani labda!sijawahi kujifanya kitu gani sijui huko na wala sifikirii kufanya hicho unachosema😅😅
Huwa ni mtu ni nae kubali kosa kama nakula za uso nakula za uso tu hakuna mjadala.

Kama kusema kweli nikujimwambafai basi usipoteze muda na comments zang 😅😅
 
Kuna watu na viatu aliimbaga nyota ndogo. Unaweza ukawa na rafiki mwanamke au mwanaume lakini asikusaidie pale ukihitaji msaada and vice versa is true. Ndugu tu anaweza asikusaidie sembuse rafiki. Mtu mmoja au wawili asikufanye ukaona mwanamke hafai. Na urafiki usivuke mipaka sio mpaka akujue kiundani.

Hata wanaume wengine wameshibana urafiki wanaishia kuchukuliana wanawake na urafiki unafia hapo. Au mwingine anatembea na mama wa mwenzie
Sidhani na hii miaka niliyonayo nimekuja na na kisa kimoja tu..
Nitakuwa wa ajabu sana kama nitakuja kuhukumu watu kwa kisa kimoja.
Visa ni vingi sanaaa hiko ni kimoja wapo kwakuwa hakijawahi nitoka.

Haya mengine ni mapungufu ya kibinadamu yapo.so kumsaidia mtu hakuhitaji mapungufu ya kibinadamu bali moyo tu.
 
Madame hebu nikuulize...
Mpo sehemu mmesimama halafu kipofu anatafuta njia mnamkwepa!!halafu unakuja sema haikuwa nje ya uwezo!🥺🥺😅😅😅

Hebu sikiza hakuna kuwa uwezo au kutokuwa na uwezo.

Vaa uhusika wa yule mama ambae haoini na ana mtoto mgongoni na walikuwa karibu yake ni wanawake wenzake na wanamkwepa.
Huyo mtoto aliyembeba Ni wa mwanaume mwenye roho nzuri,Sasa kamsaidiaje huyo mama kipofu?.....acha Mambo yako Bwana Hebu use your head japo kidogo
 
Wewe hujakubali mapungufu,rejea kwenye Uzi wako unajizungumzia Kama weee ndio mama Theresa,umewalaumu Sana wanawake walioshindwa kumsaidia kipofu,Sasa wewe mbona hukusaidia?unadai ulikuwa mbali mbona scenario unaisimulia vizuri tu?inaonyesha ulikuwa karibu kabisa na tukio,,binafsi Mimi sijawahi kuwa mtakatifu naishi kulingana na mazingira,siwezi msaidia kila mtu,dunia kubwa,kila mtu ana matatizo yake nitaweza wapi kusolve la kila mtu kisa Mimi mwanamke,,,Hata hao wanaume unaowasifia hawasaidii kila mwenye uhitaji...
hakuna kitu kumbe ulichoelewa ndo mana napata tabu 😅😅

Kwaheri🥂🥂
 
Huyo mtoto aliyembeba Ni wa mwanaume mwenye roho nzuri,Sasa kamsaidiaje huyo mama kipofu?.....acha Mambo yako Bwana Hebu use your head japo kidogo
Umejiona ulivyombinafsi!!
Kwamba huyo mama hana tundu la kutembezewa pipe ama...

Kwamba akiwa mlemavu asifanye mapenzi ama..

Kwanini hujawaza labda pengine aliyezaa nae ni mlemavu mwenzie😏😏
 
Umejiona ulivyombinafsi!!
Kwamba huyo mama hana tundu la kutembezewa pipe ama...

Kwamba akiwa mlemavu asifanye mapenzi ama..

Kwanini hujawaza labda pengine aliyezaa nae ni mlemavu mwenzie😏😏
Mambo ya kutembezewa pipe Ni maamuzi ya mtu hayo Mimi hayanihusu....kinachonihusu Ni wewe kulaumu wanawake wana roho mbaya na kuwatwisha mizigo isiyo ya lazima kwao...
 
Mambo ya kutembezewa pipe Ni maamuzi ya mtu hayo Mimi hayanihusu....kinachonihusu Ni wewe kulaumu wanawake wana roho mbaya na kuwatwisha mizigo isiyo ya lazima kwao...
Umeshinda.🥂🥂🥂
 
Usiondoke Kwanza Tuzungumze,unieleweshe.🍻🍻
nikueleweshe nigundue nini,madini kama laizer hapana hiyo time sidhani kama ipo maaana hata kichwa Habari hujakielewa.

Uwe na wakati mwema madame 🥂🥂🥂
 
Sehemu niliyokuwepo ilikuwa ni lazima watu zaidi ya 30 watoke ndipo nipate nafasi ya kumfikia yule mama.

Ningekuwa karibu nisingesubiri Aanze kupapasa sehemu ya kupita.

Nimesaidiwa mno mpka hapa nilipofika lakin mwanamke mwenzangu alikuwa mstari wa mbele kupinga nisivushwe kwenye mapito niliyokuwa nikipitia☹️☹️☹️Sitaki kukumbuka tena😢
Kumbe tunazozana na mtu mwenye msongo wa mawazo!Kama mwanamke mmoja alikupinga usivushwe usi generalize....Kila mtu ana roho yake,halafu punguza expectation utaishia kuwa disappointed kila siku....
 
Kumbe tunazozana na mtu mwenye msongo wa mawazo!Kama mwanamke mmoja alikupinga usivushwe usi generalize....Kila mtu ana roho yake,halafu punguza expectation utaishia kuwa disappointed kila siku....
Nadhani mimi na wewe tumeshafunga mjadala🥂
 
Hiyo Sasa roho mbaya Chakorii,wewe na roho yako nzuri unashindwa nielewesha mwanamke mwenzio nielewe.
nikueleweshe nigundue nini,madini kama laizer hapana hiyo time sidhani kama ipo maaana hata kichwa Habari hujakielewa.

Uwe na wakati mwema madame 🥂
 
Hapana siwafundishi ubaguzi, halafu ni asili mwanaume kumpenda mwanamke ndio maana mnatupenda na kutusaidia sana, kwa niaba yao nasema “Asante mkuu”.
Hi mada ilikuwa inazungumzia ambavyo wanawake hatupendani, ndio nikatoa mtazamo wangu ili tukamilishe ule usemi wa wanawake kuinuana. ni lazima (kwa mujibu wa imani yangu) kuwapenda binadamu wote lakini wa kumuweka mbele ni choice, nami nimewachagua huu upande.

Sijajua kama nimejibu swali lako mkuu.
Okay sawa nimekupata
 
Umekuwa mpingaji wa vitu vingi wala sishangai hata siku ukampinga Kristo
Ampinge mara ngapi, kuna siku alitoa comment ya ajabu ndipo kuanzia hapo nikawa simuelewi.... Alisema anawasi wasi hata hivyo vitabu vya MUNGU yaani Bible na Quran zinaweza kuwa si vya kweli ni maandiko ya wanaume wasanii wameandika ili kuwarubuni wanawake wawatawale..... Nikajisemea moyoni hivi hili toto lina akili sawa sawa hili.... Mbona kama taahira.....
 
Sitaki mfike mbali jamani nawaombeni..

Huu ni uzi kama nyuzi zingine tu msije dhalilishana.sipendagi magomvi jaman.
Usijali huyu nam'mudu vema tu hawezi tunishiana misuli na mimi.

Mtoto wa kike huyu ataniwezea wapi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom