Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Mkuu mdada ndio alizidi tamaa maana ni mke wa mtu ila alitoa no faster ila kwa kuwa mleta mada alikuwa mstarabu alivyojua ni mke wa mtu akafuta no
Safi sana, wewe umenielewa vyema. Wakati naomba namba sikujua kuwa ameolewa, ndio kusema mwanamke kama hajaolewa mtu unaweza kuomba kazi tu.
Yeye alitoa namba akijua kuwa ni mke wa mtu. Hapo ndio neno tamaa limekuja
 
Sasa mkuu mbona unamponda?, yeye kaomba no kiroho safi lakini yule Dada anajua yeye ni mke wa mtu kwa nn alikubali kutoa no? Mleta mada kwa kuwa muungwana baada ya kujua Dada yule ni mke wa mtu alifuta no lakini KE akiombwa no kwan lazima atoe tena kwa mtu asiyemjua wamekutana kwenye gari tu hizo tamaa tu hamna lolote.
Point...
 
Sijamuona malaya... Lkn ukiwa mke/mume wa mtu ni vyema ukajilinda na hasa ukiwa ni mke.
Kwangu mimi nilivyomuomba namba kama angenambia kuwa ameolewa ningempongeza sana. Kama tukiwa wakweli wanaume wengi tunaomba namba kwa wanawake tukiwa na lengo la kuanzisha mahusiano na wanawake wanajua hilo. Kwa maoni yangu kutoa namba kwa mwanamke anajiweka karibu zaidi na mitego kutoka kwa huyo mwanaume. Kwa wanaume tulio wengi tunaona kwamba mwanamke akikupa namba tu anakua amekuwashia taa ya kijani.
Kwahiyo kuomba namba ni kutongoza na kupewa hiyo namba ni tayari umekubaliwa? wee jamaa jiangalie.
 
Hahaha
Hiyo njia ya gongo la mboto huwa ni rahisi sana kupata mademu. Mimi nilishawatafuna kadhaa huko wakati nakaa banana mwaka 2014..
Kumbeee! Kwa hiyo ningekaza kumbe ningekula mzigo [emoji1] [emoji1]
 
Nimekuamini hii story yako niyakweli coz mwenyewe ishanitokea ninatumia iPhone 6s kuna sehem nilienda pia dem kuiona sim akadata ... ***** madem punguzen tamaa
 
Babae,nikitoaga simu yangu vidume vyote kimya hata kukohoa hamna vinabaki kodoa macho kama fundi saa aliyepoteza nati.
Nimekuamini hii story yako niyakweli coz mwenyewe ishanitokea ninatumia iPhone 6s kuna sehem nilienda pia dem kuiona sim akadata ... ***** madem punguzen tamaa
 
Back
Top Bottom