Wote mlikutana mna tamaa usimnange mwenzako
Hahahahhhh.................hata ingekuwa wew ndo Mara ya kwanza kuishika ungezubaa tuuu.....my dearKurukwa akili kisa iPhone ni ushamba
Mmmh!Hahahahhhh.................hata ingekuwa wew ndo Mara ya kwanza kuishika ungezubaa tuuu.....my dear
Ilo liko wazi....hope ni vingi umeviona kwa mara ya kwanza ukashangaaaMmmh!
Labda
Endelea kunitesa hivo hivo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yani usiseme hapa home kuna shemeji yangu kaja kunisaidia kumwangalia wife kajifungua napata shida lakini lazima nimuonje haiwezekani yupo vizuri sana.Mlivyo mafisi ujikute tu umempotezea..!siku hizi wanaume mlivyo waroho hadi shemeji zetu mnakulaga..
Ni kweli kabisaIlo liko wazi....hope ni vingi umeviona kwa mara ya kwanza ukashangaaa
Mia mia my ValentineNi kweli kabisa
Mzigo ungekula tena watoto wa huko wapo vizuri sana. Yaani wangekufanyia kila kitu. We mwenyewe ungechanganyikiwaKumbeee! Kwa hiyo ningekaza kumbe ningekula mzigo [emoji1] [emoji1]
Sasa tuammie PM nikufanyie majaribio nijue Kama umeiva!Ndio maanake
Wewe huna tamaa, mwanadamu asiye na tamaa si mkamilifu. Mwanadamu lazima atamani.
Doh ona ulivyokosa huruma unataka uwale wote lol...Mungu anakuona na ukichepuka na shemejiyo nakuombea ufumaniweYani usiseme hapa home kuna shemeji yangu kaja kunisaidia kumwangalia wife kajifungua napata shida lakini lazima nimuonje haiwezekani yupo vizuri sana.
Namla Mara moja tu halafu sirudii tena. Usiniombee nikutwe charty. Halafu mwenyewe ananipenda sana.Doh ona ulivyokosa huruma unataka uwale wote lol...Mungu anakuona na ukichepuka na shemejiyo nakuombea ufumaniwe