Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Ulimtamani,ukamuomba namba akakupa unamuona malaya. Je angekutukana ungemuona ana nyodo. Hivi wanaume huwa mnaridhika na nn hasa?

Tushajua unamiliki iphone hongera.
Sijamuona malaya... Lkn ukiwa mke/mume wa mtu ni vyema ukajilinda na hasa ukiwa ni mke.
Kwangu mimi nilivyomuomba namba kama angenambia kuwa ameolewa ningempongeza sana. Kama tukiwa wakweli wanaume wengi tunaomba namba kwa wanawake tukiwa na lengo la kuanzisha mahusiano na wanawake wanajua hilo. Kwa maoni yangu kutoa namba kwa mwanamke anajiweka karibu zaidi na mitego kutoka kwa huyo mwanaume. Kwa wanaume tulio wengi tunaona kwamba mwanamke akikupa namba tu anakua amekuwashia taa ya kijani.
 
Sasa mkuu mbona unamponda?, yeye kaomba no kiroho safi lakini yule Dada anajua yeye ni mke wa mtu kwa nn alikubali kutoa no? Mleta mada kwa kuwa muungwana baada ya kujua Dada yule ni mke wa mtu alifuta no lakini KE akiombwa no kwan lazima atoe tena kwa mtu asiyemjua wamekutana kwenye gari tu hizo tamaa tu hamna lolote.
 
Wote mlikutana mna tamaa usimnange mwenzako
Mkuu mdada ndio alizidi tamaa maana ni mke wa mtu ila alitoa no faster ila kwa kuwa mleta mada alikuwa mstarabu alivyojua ni mke wa mtu akafuta no
 
hawana shukrani

mm hua sitoi namba yangu hpvyo

na saa ingine ht nkitoa ukipiga sipokei
Kama ni mke wa mtu au upo kwenye mahusiano huna haja ya kutoa namba kwa wanaume[emoji12] [emoji12]
 
jingine sumbufu ndo napokupa halafu sikupokelei...!!whsaap bloku mujarabuuu!!
 
Angenyimwa namba angekuja kulalamika hapa.

Ila kwani kupewa namba ni tamaa.vipi kwa muomba namba kwa mtu asiyemfahamu napo sio tamaa? Na kiroho papo?
Sasa mkuu mbona unamponda?, yeye kaomba no kiroho safi lakini yule Dada anajua yeye ni mke wa mtu kwa nn alikubali kutoa no? Mleta mada kwa kuwa muungwana baada ya kujua Dada yule ni mke wa mtu alifuta no lakini KE akiombwa no kwan lazima atoe tena kwa mtu asiyemjua wamekutana kwenye gari tu hizo tamaa tu hamna lolote.
 
We ni fundi wa kuandika, hela hiyo, ipo nje nje. Andika kitabu, utauza sana. Ni ushauri wangu kwako.
Duh! [emoji15] [emoji15] yawezekana namiliki kitu ambacho sikijui.
Asante kwa kunishtua
 
Yawezekana dada wa watu hakujua kama unataka mambo alijua labda unajingine, sasa kwa sifa za kiume hata hapa usingekuja kuyasema.
 
Angekua hana nia nzuri na wewe asingeongelea masuala ya mume na watoto na ungeingia king bila kujua ila alikua anataka tu maongezi nawe na kujua bei ya simu(yap aliipenda simu sio wewe na kama ana uwezo atainunua mbeleni)
Sijamuona malaya... Lkn ukiwa mke/mume wa mtu ni vyema ukajilinda na hasa ukiwa ni mke.
Kwangu mimi nilivyomuomba namba kama angenambia kuwa ameolewa ningempongeza sana. Kama tukiwa wakweli wanaume wengi tunaomba namba kwa wanawake tukiwa na lengo la kuanzisha mahusiano na wanawake wanajua hilo. Kwa maoni yangu kutoa namba kwa mwanamke anajiweka karibu zaidi na mitego kutoka kwa huyo mwanaume. Kwa wanaume tulio wengi tunaona kwamba mwanamke akikupa namba tu anakua amekuwashia taa ya kijani.
 
Yawezekana dada wa watu hakujua kama unataka mambo alijua labda unajingine, sasa kwa sifa za kiume hata hapa usingekuja kuyasema.
Mh mengine yapi hayo jamani, huwa wanajua bana.
 
Angekua hana nia nzuri na wewe asingeongelea masuala ya mume na watoto na ungeingia king bila kujua ila alikua anataka tu maongezi nawe na kujua bei ya simu(yap aliipenda simu sio wewe na kama ana uwezo atainunua mbeleni)
Kwa kutetea basi
 
Back
Top Bottom