Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Wanawake wengi wanaponzwa na tamaa.

Nami nimekosa jibu KABISA...mnataka tuwafanyie nin nyie kina "Dada"
 
Umetumia busara sana kufuta number yake baada ya kugundua ni mke wa mtu... Hongera sana kuwa na moyo huo huo..
 
Kwani kukupa namba ndiyo kujirahisi au kuomba kuangalia iPhone 5 nikuonesha tamaa? Ktk stori zao walizungumzia watoto na waume zao hapo tamaa iko wapi? Mkuu acha kutudhalilisha kw a kudhania...wewe ndiye mwenye tamaa kufuatilia maongezi ya siyo kuhusu,
 
Hahaha
Hiyo njia ya gongo la mboto huwa ni rahisi sana kupata mademu. Mimi nilishawatafuna kadhaa huko wakati nakaa banana mwaka 2014..
 
Kwani kukupa namba ndiyo kujirahisi au kuomba kuangalia iPhone 5 nikuonesha tamaa? Ktk stori zao walizungumzia watoto na waume zao hapo tamaa iko wapi? Mkuu acha kutudhalilisha kw a kudhania...wewe ndiye mwenye tamaa kufuatilia maongezi ya siyo kuhusu, halafu unaonekana unatabia za kike kama mkeo.
kifuo hicho
 
Back
Top Bottom