Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

Mkuu Happy Diwali Day...Sisi wa Upanga jana hatukulala - Hawa Wahindi Wamepiga sana hiyo Milipuko yao feki....Tena nimeona jina lako ni GANJIBHAAI (Wewe lazima ni KANJIBAI) - bila shaka na wewe utakuwa wa mitaa hii...Mimi niko karibu na kwa DEWJI Mkubwa hapa.......Mkuu acha kusema ukweli hivyo..sisi WA-DANGANYIKA huwa hatupendi ukweli...Utachukiwa bure kwa kusema ukweli...OOOOOH, shauri yako...
 
Mkuu karibu Upanga tule pilipili 😀
 
Ukiona mwanamke anaukomba omba hela kila wakati huyo hajakupenda
Kuna mdada mwingine anakua anakuomba hela, ila hapo hapo unaona ana dalili za kutaka kua kwenye mahusiano ya kimapenzi na wewe, kwenye kum-judge huwezi sema kuwa hakupendi kwa 100%

Au ndo ile unakua na mwanaume ila hujam-feel kihivyo unamuona ana muonekano wa kawaida, hivyo unamuomba hela, akibaki sawa akikuacha sawa nakwede97
 
Ndo nature inawataka wawe hivyo.

Sio Tanzania tu mkuu...Jamaa zetu kama wa Ghana huko ndio shida kweli...uwa naona jamaa wanavoenyeka nao...ni asili yao kuomba omba, ona walimwomba mpaka shetani matunda, wakatuletea shida tu.

Ni nature unacho unampa huna unamwambia Sina Wala aihitaji kelele na ni dunia nzima tena huko nje ndio kabisa unaweza poteza Mali zako zote.
Hakuna cha nature wala nn. Sisi wanaume ndo tumewafanya wanawake wajione wa thamani. Sababu bila sisi wao hakuna ktu kinachofanyika. Yaan jamii ilidanganywa (manipulated & illusion) iamini kuwa mwanamke ana thaman kuliko mwanaume. Hebu angali gunduzi (innovations) zote zilizoleta mabadiliko dunian zote zimefanywa na wanaume hakuna hata ktu kmoja cha maana kilichowahi gunduliwa na mwanamke. (Mfano:wanaume wamegundua umeme, simu, mawimbi, computer,gari, ndege, madawa, nk). Ukitumia akili utagundua kuwa mwanaume ana thamani mara 100000000. Lakn kwa sababu wanaume walio wengi hawawezi kuzihimili tamaa zao zao za ngono mambo yamekua tafauti kabisa.
 
Back
Top Bottom