Wanawake wengi ni bandia...

Wanawake wengi ni bandia...

Status
Not open for further replies.
ana yake huyo, mi sioni kinachomfanya agombe,,,!! yaweke wazi usaidiwe.
 
Ukweli kutoka moyoni... Ni aheri mara 100 mabinti zangu wasagane kuliko toto langu la kike lifirw.e. Naapa...

Ni heri mara eflu nimkute wife anasagwa kuliko nimkute anamegwa na mwanaume mwingine. Hapa kuna hatari msiba ukatokea, wa kwangu, wa wife au wa mgegedaji. Mungu apitishe mbali.

Namshukuru Mungu nimefanikiwa kubadili mwenendo wa thread. Nimekuja JF kuleta amani, siyo vita. Nimesema ODM.

Mimi sileti vita kiongozi, let me tell you i grew up in a very distasteful life, uhuni wote wote wa mjini naujua,
I know what dirt pple are doing outside there, bad enough maisha yalikuwa ni ya kota tena zile za magomeni polis you can imagine kichwa kikoje.

msubha nshapuliza sana tuu, udongo wa kihindi ndo usipime ila nikasema stop!!

Huo usagaji nishaujaribu ukaniboa, sasa nimebadilika. but men are the most borin thing thing kwangu kwa sasa as they don't know what a lady likes and how to give it when getting down.
 
Umeelewa vibaya dada. Hatunung'uniki.Tunawaambia ukweli.Mmezidi kuwa bandia na wachafu

Umekariri vibaya! Kwa hiyo wewe ukisikia tu jina la mwanamke kichwani unamalizia 'fake'!!!
Pole wee!
 
tatizo customer service mbovu wakati maintanance cost is high!
We customers deserve the best!

Kama hivyo vijisenti ndio mnaita high cost basi mtapata second hand services mpaka akili ziwakae sawa!
Usione vyaelea!!!!
 
si uende kwa wasioa bandia.

kucha wabandike wao kuneng'eneka uneng'eneke wewe

avatar132738_9.gif


Amesahau na Avatar za bandia!
 
ktk wanawake ninaowakubali ni wahaya,yaani wapo natural ile mbayaaaaa,niwatamu kuliko hata hivi visistadu vya chuoni,bao moja tu vinahema kama vimetoka mererani.

wahaya wa wapi?bukoba au wadarisalamu.
 
shoga angu WANAUME wanapungua sana tena kwa spidi ya ajabu

Ngoja niwatafute mateacher waniambie speed ya light ni ngapi,tukii double ndio tutapata speed ya wanaume kupungua,halafu watoto wa kiume wanung'unikaji na wasiojua majukumu yao wanaongezeka kwa kasi hiyo hiyo!
Tabu tupu
 
Ngoja niwatafute mateacher waniambie speed ya light ni ngapi,tukii double ndio tutapata speed ya wanaume kupungua,halafu watoto wa kiume wanung'unikaji na wasiojua majukumu yao wanaongezeka kwa kasi hiyo hiyo!
Tabu tupu


sipati picha mwanaume wa kunung'unika anapokutana na mwanamke bandia...lol...


sijui kitatokea nini hapo
 
Umesema Truu kwani kwa mtindo huu wa jamaa'angu ata kuvaa nguo siyo natural kwa vile hatukuzaliwa nazo.Kingine ajue kuna kitu kinaitwa Value Added Service(VAS) au kwa lugha nyingine huduma ya ziada ambacho ndo kinachofanywa na dada hawa.Asili ya simu kuanza ilikuwa mawasiliano ya mdomo (sauti) hadi kufikia leo hii mangapi yameongezwa mfano calculator,Sms,Tochi nk nazo tuzikatae kwa vile ni Robot.


Huyo ana stress!!! He is just a broke ass!!!! Badala ya kutafuta hela kugharamia warembo, analazimisha wawe natural awapake majasho yake na kukopa papuchi!!! Wanawake warembo na classy watabaki Shemeji kama yeye maskini!!!
 
Huyo ana stress!!! He is just a broke ass!!!! Badala ya kutafuta hela kugharamia warembo, analazimisha wawe natural awapake majasho yake na kukopa papuchi!!! Wanawake warembo na classy watabaki Shemeji kama yeye maskini!!!
Kha mwanangu punguza makali kidogo.
 
sipati picha mwanaume wa kunung'unika anapokutana na mwanamke bandia...lol...


sijui kitatokea nini hapo
Ndio watakoma MMU,maana thread kila uchao! Sijui hawajui wanakeraje?
 
Nachural atawaweza? atuachie sisi tu......maana kila kitu ni mwendo wa alovera na GNLD products......kichupa kidogo kinafika hadi laki kumi.

Mkuu umesema kweli. Umaskini umewafanya vijana kuwa wa ajabu sana. Reasoning yao imekuwa kama ya panzi!! Kuanzisha uzi wa kipuuzi kama huu ni kukosa muelekeo wa maisha!!! Joto hasira ya UMASIKINI haiwapi ahueni wanaonekana ni inferiority complex!!!
 
Kaaaz kweli kweli wanaume halisi wa kukaa na kufata yao wamepungua sana now naona kuna wavulana waliokosa kazi za kufanya zaidi ya kuchunguza wapita njia...MMU inashuka hadhi sana
 
Kwa nini gharama kubwa kwa fake wakati original zipo kwa cheap...nyie fake nyie kutokana na ufake wenu hata mtu kakupa mimba ndio mnatuzalia mashoga scientific proved hiyo....hakuna mtu asiependa natural sema nyie wabaya ndio mnaojipara kama miti krismasi mbwa nyie

asanteni kwa kunisikiliza ndugu wanawake

acha tujipare hela ina ruhusu na ipo ss ww unakoma eti unataka natural kumbe hela huna ya kuhudumia halafu unaleta matusi yako hapa ya ajabu.ww huna hela komaa na huyo natural wako na akimpata mwenye pesa unaachwa hapo unashangaa shangaa tu halafu nahis ulikimbia umande ww eti wanawake wanazaa mashoga kwa hiyo hizo mimba wanajibebesha wenyewe?
 
Mmh we sema tu sizitaki mbichi hizi basi sio kulalamika kwa ufake na ubandia!
We are not in the Dark age no bushmens exists.
 
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
Uzuri unazaliwanao ila urembo na usafi wa mwili unajipa mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom