Wanawake wengi ni bandia...

Wanawake wengi ni bandia...

Status
Not open for further replies.
tafuta ela kijana kama uwezo wa kugharamia hizo vitu vya bandia waachie wanaoweza

sio lazima kila mtu aanzishe thread kama huna jipya soma mawazo ya wenzako PERIOD

Topaz inamshinda.......sasa ndo aghalamie hao bandia???atawaweza??
Maisha yakuishi kwa mashemeji bwana!!!!
 
Topaz inamshinda.......sasa ndo aghalamie hao bandia???atawaweza??
Maisha yakuishi kwa mashemeji bwana!!!!

halafu hata kunyoa shoga kuna namna ya kunyoa kuna kunyoa ki mia tano na kunyoa kistylish....

akiogopa gharama kwenye bandia anakutana nazo kwingine
 
me natural ila nataka nianze kuwa bandia wafanyakazi wezangu wananiambia sijipendina me mbahili sana eti uchagga umenitawala.....

kabla hujapotea,nakushauri,remain as u r,coz hutakaa upendwe na mwanaume yoyote ila watakutamani,nawatakunyonya mpaka basi kama bg gee nakutupwa kwenye dust been.
 
Kucha bandia.kope bandia.ngozi bandia.macho bandia.nywele bandia.meno bandia.lips bandia.masikio bandia.------ bandia.matiti bandia.kweli twamchezea mungu.
 
halafu hata kunyoa shoga kuna namna ya kunyoa kuna kunyoa ki mia tano na kunyoa kistylish....

akiogopa gharama kwenye bandia anakutana nazo kwingine


Sasa ndo ataweza????......Atanunua Laser ya shs 50 ajipalue nayo
 
ktk wanawake ninaowakubali ni wahaya,yaani wapo natural ile mbayaaaaa,niwatamu kuliko hata hivi visistadu vya chuoni,bao moja tu vinahema kama vimetoka mererani.

we style moja mwanzo mwisho dem ataachaje kuhema......

unato.._ba ka unaparamia minazi unategemea nini....
 
khaa hivi bifu la masela na madem wa jf litaisha lini?.... kila kukicha siredi za kulipuana tu duuu!!!!
 
ktk wanawake ninaowakubali ni wahaya,yaani wapo natural ile mbayaaaaa,niwatamu kuliko hata hivi visistadu vya chuoni,bao moja tu vinahema kama vimetoka mererani.

Wahaya vyuoni hawapo???je hakuna masistaduu wa kihaya......kwahyo hao wahaya wanahimil mabao
 
hahaaaa Pesa kazi yake matumizi.......muanzisha thread aache kuneng'eneka tu

Mtu ukinusurika na kifo unafikiri akil inakaa sawa???
Umesahau gongo za kigogo sambusa......watu walikufa,sasa majeruhi ndo huyo sasa anahemea Amana!!!
 
Ukitaka kuuona uhalisia wao ngoja mbwa aanze kuwatoa nduki!!!! Minyusi bandia na makalio moto na sauti za uongo...kila kitu chao uongo...hadi harufu zao za uongo ukizipata harufu zao za ukweli ni soo

asante kwa kunisikiliza ndugu wanawake

misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom