Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ni kweli aisee......ngoja niendelee kuumiza kichwa. Maana nimejaribu kufikiria Ijumaa hii........
hahaaaa majibu kupata itakuwa ngumu sanaaaa
Ni kweli aisee......ngoja niendelee kuumiza kichwa. Maana nimejaribu kufikiria Ijumaa hii........
Ni kweli kunatofauti Kati ya uzuri na kuwa mrembo...karibu kwenye ulimwengu wa urembo
Kiongozi punguza ukali wa maneno hakuna haja ya kufikia hatua ya kutukana.Kwa nini gharama kubwa kwa fake wakati original zipo kwa cheap...nyie fake nyie kutokana na ufake wenu hata mtu kakupa mimba ndio mnatuzalia mashoga scientific proved hiyo....hakuna mtu asiependa natural sema nyie wabaya ndio mnaojipara kama miti krismasi mbwa nyie
asanteni kwa kunisikiliza ndugu wanawake
asante mpenzi, nadhani da way am look sex than nikijiongeza !!!!!!!!!! kesho naenda kufanya kitu kimoja nione kama nitazidi kupendeza
Nenda kawafanyie kitu cha Natural extension na Hand Shellac Gel...wakiasante mpenzi, nadhani da way am look sex than nikijiongeza !!!!!!!!!! kesho naenda kufanya kitu kimoja nione kama nitazidi kupendeza
nenda kawafanyie kitu cha Natural extension na Hand Shellac Gel...wakikuona ni lazima wajikwae kwa mshangao.asante mpenzi, nadhani da way am look sex than nikijiongeza !!!!!!!!!! kesho naenda kufanya kitu kimoja nione kama nitazidi kupendeza
pande zipi mamiiiC kweli yawezekana kua wew ni mvivu wa kuangalia...jaribu kuja pande nnazopatikana lol
acha tujipare hela ina ruhusu na ipo ss ww unakoma eti unataka natural kumbe hela huna ya kuhudumia halafu unaleta matusi yako hapa ya ajabu.ww huna hela komaa na huyo natural wako na akimpata mwenye pesa unaachwa hapo unashangaa shangaa tu halafu nahis ulikimbia umande ww eti wanawake wanazaa mashoga kwa hiyo hizo mimba wanajibebesha wenyewe?
Kiongozi punguza ukali wa maneno hakuna haja ya kufikia hatua ya kutukana.
Kubali ukatae mwanamke mzuri akichanganya na urembo kidogo anakuwa ni zaidi ya Cleopatra.