Umeniwahi mkuu,nikitaka kumwambia the sameMkuu bila shaka kuna kitu wamekufanya mbaya, hayo maneno yako inaonekana kama vile umeathirika kisaikolojia, hivi hujui kama wanawake ndio pambo la dunia ?. Hivi hujui kwamba kujiremba kwao ndio kunatufanya sisi tuvutike zaidi kwao na kujiskia raha ?. Nina mashaka sana na wewe, itakuwa unawaogopa sana kuapproach wanawake warembo
za dar zote bandia and wamikoani nadhani wanaweza kuwa natural so tuta-prove ukija hiyo tarehe tano!
Pole sana...kwa taharifa yako hata hao unaowaona wako natural wengi wao wanatamani kuwa warembo ila wanashindwa kuwa hivyo kutokana na kazi wanazofanya au sheria za dini wanazofuata.Bandsia inakera hata kutazama
Naweka kituo Morocco kukusubiri twende wote kwenye mkesha. Mke mwema humsaidia mmewe. Mme mwema humpenda na kumwongoza mkewe kwa heshima.
Nipigie makofi matatu, nimeondoa hasira zako na kukujaza furaha moyoni mwako. Ndio kazi yangu kwako.
Kwa hapa nafikiri umeongea point kidogo. Siyo wanawake wote wanajiremba kama wacheza show,bali ni baadhi tu tena wengi wao wanaopenda kujiremba mpaka kupitiliza ni kuku wa kienyeji(wadada wa uswazi) lakini kuku wa kizungu(wadada au wamama familia bora) wanajiremba kimpangilio kiasi kwamba ukikutananae ni lazima utageuka tu.Sawa.Kwa hapa punguzeni mambo ya bandia angalau.Tunawapenda sana.Lakini, wengine wanakera sana
Ushatiwa bakora matak.oni? Kama bado basi ujue zinauma sana.
leo natoka job fastaaa.utanikuta pale kwa siku zote.......
Ngoja niwatafute mateacher waniambie speed ya light ni ngapi,tukii double ndio tutapata speed ya wanaume kupungua,halafu watoto wa kiume wanung'unikaji na wasiojua majukumu yao wanaongezeka kwa kasi hiyo hiyo!
Tabu tupu
Hahaha mtoto mshakunaku wewe lol. Haya Heaven on earth twenzetu Katavi kwa Prime Minister wetu.
Ni kweli kunatofauti Kati ya uzuri na kuwa mrembo...karibu kwenye ulimwengu wa urembome natural ila nataka nianze kuwa bandia wafanyakazi wezangu wananiambia sijipendina me mbahili sana eti uchagga umenitawala.....
![]()
Amesahau na Avatar za bandia!
hahahha....hahahha....nimeisoma mara tatu ndio nimeelewa.....hizi shule za kayumba hizi.....akili inakuwa imedumaa sana kuelewa mambo. Aisee
:frusty:
Tabu shoga angu..mie nachoka akili na nywele kabisaa
halafu hata kunyoa shoga kuna namna ya kunyoa kuna kunyoa ki mia tano na kunyoa kistylish....
akiogopa gharama kwenye bandia anakutana nazo kwingine
Lakini siyo wanawake wote wanaweka ubandia kila kituKucha bandia.kope bandia.ngozi bandia.macho bandia.nywele bandia.meno bandia.lips bandia.masikio bandia.------ bandia.matiti bandia.kweli twamchezea mungu.
Pole. hapo itabidi urudie mara tano ndo utaelewa.