Wanawake wengi hawatabiriki kwenye mahusiano

Wanawake wengi hawatabiriki kwenye mahusiano

Nikupe pole kwa yaliyokufika, halafu wapo wanaume pia japo sio wote hawajitambui, utawapa mapenzi yote ya dunia miuno ya paka chongo kitandani na bado utamwagwa vile vile, hamsarifiki kama majipu ya kwapa
Hili ndilo jibu mahususi kwa mtoa mada! Yaani hatuaminiani hivyo mwanamke akiona upenyo anasepa
 
wee ukitaka kutoumizwa wachukuliwe wanawake kama chombo cha starehe tuu.
 
Siku zote nimekuwa nikisema na nitarudia tena. Wanawake wanafanya maamuzi bases on hisia. Yaan hisia zake zitakapo mpeleke ndipo huko huko ataenda. Sisi wanaume tunatumia logic, yaan moja na moja ni mbili.

Wadada wao.wanadhan wanaume tunawaza the same kumbe ndivyo sivyo. Sasa shida ni kwamba wadada wa sasa japo si wote.. inaonyesha ukimuamini tu, tayar anafungua mkucha.. mapenz hupungua kabisa... halii hii hufanya mwanaume achoke na mapenz kuvunjika.

Wadada msisahau nafasi zenu kwenye mahusiano.
Kuchoka is part of life and part of mahusiano...people dont wanna accept the highs and lows
 
Hahahah no wonder na wao wanakuchukulia km wa kuchuna tu lol

i have no problem with that... cha msingi naridhika na ninachopata na wao wanaridhikana wanachopata. kikubwa ni kwamba mie sina stress za kujitakia.
 
Kuchoka is part of life and part of mahusiano...people dont wanna accept the highs and lows
Is not about kuchoka, is about commitment. Will u be there pale mapenz yanapokuwa chini, will u be there hela ikikosekana, will be ther hali inapokuwa ngumu?
 
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe. Umenuna wiki sasa na Bado unafunga Ramadhan kama si masikhara n nini? Hapo Hapo unaomba nimtumie Mama yako kijijini pesa ya matumizi (unaweka na kiwango kabisa 200,000/=)
 
Is not about kuchoka, is about commitment. Will u be there pale mapenz yanapokuwa chini, will u be there hela ikikosekana, will be ther hali inapokuwa ngumu?
Both parties wanakuaga guilty at some point na ndo mana kuna neno msamaha
 
Both parties wanakuaga guilty at some point na ndo mana kuna neno msamaha
I dont think both parties zinakuwa guilty. Though huwa inatokea muda mwingine kuwa pande zote ndio zina shida, majority huwa ni one sided.

Mmoja anataka kuwa responsible kumaliza matatizo, mwingine anakaa pembeni hataki kujihusisha kwa lolote.
Mbaya zaid ni pale hali inapokuwa ngum, alaf mwenzio anakutenga, hata pole hatoi, hata samahani asemi.
 
Mahusiano ni 50/50 ni watu wawili hamuwezi mkawa mnapata shida afu unasingizia upande wa pili always...yawezekana mwenzako katibua wewe shida yako kulimanage hilo jambo
Mume nae ana shida i tell u..wanaume tunawajua mbona
 
Siku hizi wanaume wapo wachache wenye kujitambua hawa wengine ni kwenda nao sawa tu ukiona humuelewi sepa
Nakubaliana nawe ila wasichana nao pia wanalazimisha hela na Vijana wengi wanadunduliza tu. Silaumu upande maana mabinti wana matumizi Yao ambayo yanahitaji fedha na hana pa kuzipata wakati huo huo vijana mifuko inapiga mayowe. Si kuwa mabinti wanajidekeza la hasha wanajitahidi kutafuta kazi za kujiingizia kipato lakini zipo wapi? Akimuomba mzazi majanga hapo anakimbilia aliyemkabidhi mwili wake ambaye hana. Je akipata sponsor atamuacha?
 
Hakuna maamuzi yanayofanyika bila ya sababu kwenye mahusiano.....Habari inapokuja au kuletwa na upande mmoja ndio inapukuwa tabu.......

Mwanamke na mwanaume wanaishi kwenye ulimwengu tofauti wa kihisia kwenye mapenzi.......

Kwenye ulimwengu wa mahaba wa mwanamke ni vitu vidogo sana vinavyobeba kwenye mioyo ya mwanamke ambapo wakati mwingine huonekana vya kijinga machoni kwa mwanaume......
 
Mahusiano ni 50/50 ni watu wawili hamuwezi mkawa mnapata shida afu unasingizia upande wa pili always...yawezekana mwenzako katibua wewe shida yako kulimanage hilo jambo
Mume nae ana shida i tell u..wanaume tunawajua mbona
Nakubaliana na wewe lakin kila mtu anatakiwa a play nafasi yake. Jua kwamba mwanaume ameumbwa kutawala,kuongoza mwanamke ameumbwa kusikiliza, kulea.

Shida huja pale ambapo upande mmoja unataka kuchukua majukumu ya mwingine. Vita huanza hapo.
And yes ziko scenario tena ndio nyingi sikuiz, upande mmoja unajali, mwingine dont care.
Ndio maana daima nyakati kingu ndio kipindi cha kupima mapenz , na utu wa mtu uliyenaye. Wengi sana wameanguka kwenye hiki kipindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom