Wanawake wengi hawatabiriki kwenye mahusiano

Wanawake wengi hawatabiriki kwenye mahusiano

Hakuna maamuzi yanayofanyika bila ya sababu kwenye mahusiano.....Habari inapokuja au kuletwa na upande mmoja ndio inapukuwa tabu.......

Mwanamke na mwanaume wanaishi kwenye ulimwengu tofauti wa kihisia kwenye mapenzi.......

Kwenye ulimwengu wa mahaba wa mwanamke ni vitu vidogo sana vinavyobeba kwenye mioyo ya mwanamke ambapo wakati mwingine huonekana vya kijinga machoni kwa mwanaume......
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Yah,uko sahihi ni asiyejali habebeki hata utumie juhudi vipi,kwake haoni..
kuna mdau ameshasema humu mwanamke akibaini unampenda unamnyenyekea lazima akuone bwege, ili uende nae vizuri ni lazima uwe rogue, na wanaume wenzangu mjifunze kutoweka mayai yote kwenye kapu moja, mjue wao wana mzungu wa mafiga matatu (inborn)
 
Siku zote nimekuwa nikisema na nitarudia tena. Wanawake wanafanya maamuzi bases on hisia. Yaan hisia zake zitakapo mpeleke ndipo huko huko ataenda. Sisi wanaume tunatumia logic, yaan moja na moja ni mbili.

Wadada wao.wanadhan wanaume tunawaza the same kumbe ndivyo sivyo. Sasa shida ni kwamba wadada wa sasa japo si wote.. inaonyesha ukimuamini tu, tayar anafungua mkucha.. mapenz hupungua kabisa... halii hii hufanya mwanaume achoke na mapenz kuvunjika.

Wadada msisahau nafasi zenu kwenye mahusiano.
Sawa nimekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom