Wanawake wengi hawana hela ya sikukuu

Wanawake wengi hawana hela ya sikukuu

Nakuelewa Belle Kaiya, Ila kwanini mjirahisishe hivi kipindi cha sikukuu?
kwasababu gharama,pia Inakuwa zipo juu... Sasa hakuna jinsi. Ukiringa hupati lazma,ulegeze Uzi. na msipende kutuimba kama vipi.... Lwahiyo mshazoea tuwasumbue au?
 
Sweetheart usiwape hata senti tano then acha mazoea na hao wanawake unanifanya niwe na wivu. Haf honey unajua hatujapanga kuhusu sikukuuu
 
Sweetheart usiwape hata senti tano then acha mazoea na hao wanawake unanifanya niwe na wivu. Haf honey unajua hatujapanga kuhusu sikukuuu

Hah hah hata usiwe na wivu my mamito hamna kilichoharibika,

Kuhusu sikukuu unaonaje ukijiunga na mimi twende kijijini kwetu?
 
kwasababu gharama,pia Inakuwa zipo juu... Sasa hakuna jinsi. Ukiringa hupati lazma,ulegeze Uzi. na msipende kutuimba kama vipi.... Lwahiyo mshazoea tuwasumbue au?
Kama mmeamua kulegeza uzi, mlegeze mwaka mzima mwanzo mwisho
 
Umejibu vyema sana!

Otherwise, I admire 'Valentina' this is because she dont take this thread as offensive, excuse my choice of language, ni pm mimi nikutoe tu mkwanja wa sikukuu, hata usinipe 'kidude' sawa tu.
The Boss, nitapendekeza kwa Invisible tutoe zawadi kwa mtoa hoja bora wa mwaka JF, kura yangu unayo mkuu, kuanzia jukwaa la siasa hadi huku MMU.
I can understand your philosophy but my statements doesnt in anyway degrade women

Mostly wanaomba bcoz they think they have something to trade it with, if not wangeomba wanawake wenzao

We unataka ni-sympathyze na mfumo uliokuwepo kabla? Unafikiri hawa watu wote hawajaenda shule au chuo? au unafikiri wote hawana kazi?
 
Last edited by a moderator:
Umejibu vyema sana!

Otherwise, I admire 'Valentina' this is because she dont take this thread as offensive, excuse my choice of language, ni pm mimi nikutoe tu mkwanja wa sikukuu, hata usinipe 'kidude' sawa tu.
The Boss, nitapendekeza kwa Invisible tutoe zawadi kwa mtoa hoja bora wa mwaka JF, kura yangu unayo mkuu, kuanzia jukwaa la siasa hadi huku MMU.

Teh haya bana,ngoja nije kuchangamkia fursa
 
Last edited by a moderator:
Si ndo safi ili tupate mbunye kwa bei rahisi. Au umesahau kanuni ya demand and supply? Supply ikiwa kubwa lazima bei ishuke
 
Back
Top Bottom