sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Yani mnapenda free ride
Utadhan public goods vile...
Tatizo sio kupenda free ride but at least iwe cost imekuwa minimized...mnatulaa saana, daaah
Yani mnapenda free ride
Watapatikana hao hao wanawake wategemea mizinga akina sie tuliojizoelea kujitegemea kila kitu sana sana ntamuomba mwanaume aje mahali tukae pamoja tuu kwa kampani ila gharama kila mtu mfuko wake.
Raha sana kujitegemea husumbuliwi na pii wala poo
Hahahaa yani huyu hujamgundua,hapo kaombwa na kibaby chake utakuta laki tu anaona nyingiiiii,kuja kumuanika huku...
Watu wanaombwa magari wanatoa huyu si angetangaza mpaka CNN....
Nadeal na multiple mizingas na zinakuja kwa rate ya juu hasa huu mwezi, wengine hatujatafutana mda mrefu lakini na wenyewe wamoHahahaa yani huyu hujamgundua,hapo kaombwa na kibaby chake utakuta laki tu anaona nyingiiiii,kuja kumuanika huku...
Watu wanaombwa magari wanatoa huyu si angetangaza mpaka CNN....
Ni kweli au uongo?
Tatizo nyie ndo mnawaendekeza halafu hamuishi kulalama. Mkiwachunia wote watauza hata vocha wapate hela ya lace wig au pedicure na manicure.Kwahy kasinde ni miss independent, hongera, hawa miss dependents wanasumbua kweli
Demand za vidude vyao imeshuka wakati supply imeongezeka, cheki dau linavyoshuka, hawa wana normal demand, mizinga yao inafluctuate
Ila kuna wengine supply ya vidude vyao ipo chini, demand ipo juu, kwa hiyo mizinga yao ipo juu ikishuka inashuka kidogo
Ila wengine ni washkaji tu ile mazoea kwa sana, wanaonesha kuwa tayari for trade, haya yote attributed to xmas holiday
Ndo maana sitaki kuwaendekeza hata kama wamekuwa warahisi maana wanabadilika kuwa dependents wa kudumuTatizo nyie ndo mnawaendekeza halafu hamuishi kulalama. Mkiwachunia wote watauza hata vocha wapate hela ya lace wig au pedicure na manicure.
Endeleeni kuwafuga ili nanyi mpate mtelezo wa kugonga vichwa.
Msimu huu wa sikukuu nimeingiza 1 million profit kwa ku supply nguo za watoto nimezinunua mahali kwa bei chini nimeweka cha juu kidogo tuu na mzigo umeisha. Utasikia wote tukiuza nguo nani atanunua.
Issue ni kujua kusoma alama za nyakati na kujua mahitaji ya wananchi baasi unaingiza hela kihalali.
Hapo Kasie ruksa kwenda Mombasa beach na kula sikukuu kwa afya yangu.
Umeona haitoshi umehamia huku na kaavata unakabidili kila saaa.....unajitangaza kabisa unaombwa,mfyuu.....
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia kuu nikasherekee sikukuu na mchepuko?.Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu.
Naanza kuamini kuwa ni rahisi kuwapata wanawake katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote.
Nadeal na multiple mizingas na zinakuja kwa rate ya juu hasa huu mwezi, wengine hatujatafutana mda mrefu lakini na wenyewe wamo
Specifically naongelea sikukuu, na hizi mizinga zinapigwa kwa gia tofauti tofauti
Utadhan public goods vile...
Tatizo sio kupenda free ride but at least iwe cost imekuwa minimized...mnatulaa saana, daaah
Brenda18,Watakua wanakuona wewe ni alosto sio bure, ndio maana unapata multiple mizinga,ujasiri huo wanaupata wapi ka sio unawachekea....
I can understand your philosophy but my statements doesnt in anyway degrade women
Mostly wanaomba bcoz they think they have something to trade it with, if not wangeomba wanawake wenzao
We unataka ni-sympathyze na mfumo uliokuwepo kabla? Unafikiri hawa watu wote hawajaenda shule au chuo? au unafikiri wote hawana kazi?