Dada mzuri upo?
Ila vinabadilishwana na pesa....lakin haviuzwi. Sawa nimelewaaa.
Mkuu, hela imekuwa ngumu zaidi kwa hawa jinsia ya kike, yan wanatia huruma
Hivi unakuta kidude kimenyolewa fresh, kimevaa bikin nzuri unadhan kuna muujiza gani hapo?
Ha haaa nilikua nahamu ya kucheka. Nimefanikiwa,basi niwatakie jioni njema.... Muwikiendike salama bila kashda
Nawewe pia, take care
Hivi unakuta kidude kimenyolewa fresh, kimevaa bikin nzuri unadhan kuna muujiza gani hapo?
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking,Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu..
Watapatikana hao hao wanawake wategemea mizinga akina sie tuliojizoelea kujitegemea kila kitu sana sana ntamuomba mwanaume aje mahali tukae pamoja tuu kwa kampani ila gharama kila mtu mfuko wake.Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia kuu nikasherekee sikukuu na mchepuko?.Hata mtaani nikisalimia wadada tu na stori kidogo kifuatacho ni hela ya sikukuu.
Naanza kuamini kuwa ni rahisi kuwapata wanawake katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote.
Kuhusu shangazi zangu sijui, ila nina mdogo wangu wa kike mmoja ambaye najitahidi asiwe na tamaa kwa kumtimizia mahitaji yake mengi, so mshkaji wake hawezi kulalamika kupigwa mizingaHata dada zako na shangazi zako pia ninatumai wanatia imani.Mwee hali mbaya
Watapatikana hao hao wanawake wategemea mizinga akina sie tuliojizoelea kujitegemea kila kitu sana sana ntamuomba mwanaume aje mahali tukae pamoja tuu kwa kampani ila gharama kila mtu mfuko wake.
Raha sana kujitegemea husumbuliwi na pii wala poo
nimekuja! nilisema hapa kama tahadhali wengi wakabeza. nikatoa angalizo kwa vijana kuwa makini. na mada nyingne nimetoa juzi tu kuwa wamepanga kuwachuna wanaume pesa alafu cku ckukuu wanavaa pedi zao ili ww ucpate kitu. MUNGU OKOA VIJANA
Shem,
Tupo kwenye hili la hapa kazi tu, your employed or self employed. Umetumia mshahara wako kujinunulia hivyo vyote. Ni jambo jema.
Ha haa
Anaokota huko wanafunzi wa form 4 na 6 hlf anakuja kujinadi hapa anapigwa mizinga,
Mzinga wenyewe utakuta elfu 20 lkn anavyowanadi!!
Kwahiyo ndio mmeamua kutusema eeh!
We everhurt sio watoto wa f4 f6 kama unavyodhani, wengine masingle mothers, wengine wana kazi zao wengine hawana, wengine wapo chuo n.k . Btw sio kwamba nipo nao kwenye mahusiano
Hahahaha kumbe huko tandale kwenu wewe ndie boss uwiii,
Nakushauri hama hapo tandale hamia hata k,nyama.