Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Usiwalaumu wala kuwakejeli. Fahari wawili hawakai zizi moja. Wao hawajaumbwa kuchakata mambo magumu,ndio maana wamewekwa kuwa chini ya Mamlaka ya Mwanaume!.
Hatuwakejeli tunaongea tu facts

Wazee wetu walikuwa sahihi mwanamke ni wa kukaa nyumbani tu akili ndogo kwenye kuchakata mambo

Na ndio maana kwenye vikao vizito vya kifamilia au kiukoo ni wanaume tu wanachakata mambo wao wanapewa mrejesho

Uwezo wao ni kwenye kutunza nyumba na watoto haya mengine tumefosi
 
Nadhani usiwajumuishe wote, wapo wanaojua and they care

Most of them wanajua yanayoendelea nchi i but they dont care
 
Siku hizi hakuna hayo mambo itakuwa umesoma zamani sana, lawyers ni wengi sana na bado course ina dadaz wengi pia, or else wanaume wote wasome engineering na makozi ya computer uko!

Darasa la Lawyers haliwezi kua na KE wengi kuliko ME wala hata 50% hawafiki, Same to Engineers.

Wakiwa wengi huko baasi ujue kizazi cha kiume we are officially Cooked, Na tutegemee vyama vya kutetea wanaume kua vingi kuliko vya wanawake
 
Afu hakuna ajabu siku hizi, hadi Feminine Bottoms wanapiga engineering.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nna rafkizangu warembo vibaya wamesoma hayo makozi magumu gumu na bado wana feminine energy na huwezi kujua kama ni engineer, mbona loveness ana masculine traits na abdo wana-dis binadam kila kitu hawataki ndo ishakuwaπŸ˜‚
 
Darasa la Lawyers haliwezi kua na KE wengi kuliko ME wala hata 50% hawafiki, Same to Engineers.

Wakiwa wengi huko baasi ujue kizazi cha kiume we are officially Cooked, Na tutegemee vyama vya kutetea wanaume kua vingi kuliko vya wanawake
Hii mentality kumbe iko wazi kweli?? Najuaga ni baadhi ya watu.
Ko hata Feminine Gay, akipiga Engineering au MD bas ni ajabuu??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii nchi ime corrupt, sio bureee.
 
Halafu kila siku mnalalamika humu kua wanawake wasomi hua hawaolewi kwa ujuaji wao,mara Wanawake matajiri hua hawaolewi!

Mnawachanganya hao wanawake mpaka hawajui sasa washike lipi hasa,

Mara Mwanamke akiwa kiongozi mnalalamika,mara wengine wadai kua raha ya Mwanamke asijue mambo mengi,

Vipi kama na wao wakilalamika kua sisi Wanaume hatufuatilii mambo ya umbea,watakua wapo sahihi?

Acha kila mtu afuatilie issue ambazo yupo interested nazo,utofauti wetu na wao ndio unaifanya Dunia kua hivi,hatuwezi kufanana kwa kila jambo,

Love the life you live
Live the life you love.
 
Kudhani wanawake hawana akili kabisa utajichanganya mkuu. Hao ni kama Marekani. Wanaangalia maslahi yao tu ndo maana hawajihusishi na mambo yasiyowaletea faida. Kwa mfano wanawake wengi huenda kwa waganga konki kutafuta ndumba za ku-Control wanaume na wamefanikiwa sana. Cha muhimu pia kumbuka wanawake wakiwa na akili sawa na wanaume hakutakalika duniani. Dunia itakosa balance.
 
Darasa la Lawyers haliwezi kua na KE wengi kuliko ME wala hata 50% hawafiki, Same to Engineers.

Wakiwa wengi huko baasi ujue kizazi cha kiume we are officially Cooked, Na tutegemee vyama vya kutetea wanaume kua vingi kuliko vya wanawake
Basi niliposoma mimi wanawake walikuwa shazi kuliko hao the so called Me
 
Nna rafkizangu warembo vibaya wamesoma hayo makozi magumu gumu na bado wana feminine energy na huwezi kujua kama ni engineer, loveness ana masculine trauts na abdo wana-dis binadam kila kitu hawataki na ishakuwaπŸ˜‚
Siku hizi hadi mashoga tena wale walio kike haswaa, wamepiga Engineering na MD hukooo.
Na Hawana habari wala nini. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila straight uchwaraaa, kwa kupenda kujikwezaa, yaani hawajiaminii kabisaa
 
Ni kweli,kila mtu(bila kujali jinsi yake) kuna mahali uwezo wake unaishia. Muhimu ni kuchukuliana madhaifu kwa UPENDO!
 
Nna rafkizangu warembo vibaya wamesoma hayo makozi magumu gumu na bado I ana feminism energy na huwezi kujua kama ni engineer, loveness ana masculine trauts na abdo wana-dis binadam kila kitu hawataki na ishakuwaπŸ˜‚
Kuna mmoja ni civil engineer nilimkuta kwenye mradi wa ujenzi wa barabara mtoto kala vumbi la hatari

Hata mume au watoto wake wakipita wakamuona lazima wabubujikwe machozi

Kwenye kozi ngumu za engineering ikifika muda wa kuingia field kwenye kazi kikweli huwa mnatia huruma sana

Ukweli usemwe zile mbanga zimekaa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…