Wanawake wengi akili hazijatulia

Wanawake wengi akili hazijatulia

ImageUploadedByJamiiForums1413150829.144150.jpg
Huyu hapa huyo mkenya
 
Ni heri hata huyo dada wa kenya. Mi ninajuwa wana jf wote wana magari.
 
Haya bhana ila lala na hili, unaweza kuwa na chochote kwenye ndoa yako lakini kwa tabia zako wewe mwenyewe utamfanya mwanaume asikutamani wala asiwe na upendo kwako dushe haisimani kwako inaenda inasimamia nyumba ndogo,so think twice my dada.

Mdogo wangu umeolewa? Niko kwny ndoa 2yrs..hv unafikir ndani ya ndoa ni km girlfriend n boyfriend mnatiana kila mkionana? Mnaeza muwe hamjagombana but mkalala hata 3wiks bila kugusana..na inawezekana wala hakusaliti na wala ww husaliti ila ni ubize tu na majukumu..sasa usifikir hata ukiolewa na huyo maskini wa kuanza nae eti ili kum bembeleza mtagegedana daily tena huyo ndo full stress.. workhard mamy tengeneza vyako tafuta mwanaume mwny vyake muanze maisha..maswala ya baby tutalala hata chini yamepitwa na wakati..goodmorning
 
Ni heri hata huyo dada wa kenya. Mi ninajuwa wana jf wote wana magari.

Hahaha..hapo umemaliza..!
Lakini mbona nawaona kwenye 'matatu' wakisoma michango ya jf? Hii forum ni hatare kwa kweli, kila mtu anacho..!
 
Aisee,pole sana kulia si unalia chumbani!! Usicheze na maisha wapo wanaume wanamagari wanaishia kupandisha vimada.

Na most ya wanaume wenye magari makubwa kama range, land cruiser prado nk. huwezi kuona wake zao wakiyaendesha au kupanda panda, na mara nyingi ni watu walio busy sana. Labda kama anataka kujisifu kuwa mme wake ana range au cruiser sawa.
 
binafsi ukiwa na gari yakutembelea tu huna 1.nyumba 2 kiwanja3 biashara uloanzisha huna sifa za kuwa na mimi kwa sababu kichwani ni maji sio akili unanunuaje gari yakuendelea kula hela ulokuwa navyo then uko nyumba yakupanga tena yenye geti na parking! pumbavuuu
 
Mdogo wangu umeolewa? Niko kwny ndoa 2yrs..hv unafikir ndani ya ndoa ni km girlfriend n boyfriend mnatiana kila mkionana? Mnaeza muwe hamjagombana but mkalala hata 3wiks bila kugusana..na inawezekana wala hakusaliti na wala ww husaliti ila ni ubize tu na majukumu..sasa usifikir hata ukiolewa na huyo maskini wa kuanza nae eti ili kum bembeleza mtagegedana daily tena huyo ndo full stress.. workhard mamy tengeneza vyako tafuta mwanaume mwny vyake muanze maisha..maswala ya baby tutalala hata chini yamepitwa na wakati..goodmorning

Hakuna jipya kwenye mahusiano ambalo silijui na sio kujua tu ninapractise mwenyewe mi niko kwenye ndoa pia Dramaqueen.lakini maisha ni kusaidiana,kuelewana,kupendana,kuamiamiana,kuheshiamiana,kujali hisia za mwenzio na kushirikishana kwenye mipango ya maendeleo ndo maisha yanasonga,sikatai misukosuko ni sehemu ya maisha lakini ndoa ni zaidi ya kugegedana.
 
Mdogo wangu umeolewa? Niko kwny ndoa 2yrs..hv unafikir ndani ya ndoa ni km girlfriend n boyfriend mnatiana kila mkionana? Mnaeza muwe hamjagombana but mkalala hata 3wiks bila kugusana..na inawezekana wala hakusaliti na wala ww husaliti ila ni ubize tu na majukumu..sasa usifikir hata ukiolewa na huyo maskini wa kuanza nae eti ili kum bembeleza mtagegedana daily tena huyo ndo full stress.. workhard mamy tengeneza vyako tafuta mwanaume mwny vyake muanze maisha..maswala ya baby tutalala hata chini yamepitwa na wakati..goodmorning

Nikuambie kitu,mi na mume wangu tunaishi mikoa tofauti lakini anapokuja kunitembelea anafikia kwangu,yaani ni kwangu,katika vitu ambavyo sivipendi ni kumtegemea mwanaume,mi nimfanyakazi,mfanyabiashara, ninalima na ninafuga pia hata mwanaume aniache sitetereki km wanawake tegemezi wanavyokuwa kwa sababu vyote vyangu,lakini kama unaolewa kwa kukwepa maisha magumu kwenu ni kesi nyingine.
 
Crazy like u ..... selfishness inakuendesha mwanamke mmoja wa kenya unatutukana wote pamoja na mama yako shangazi yako vichaaaa mfyuuuuu....

Aaaaah, unajua mimi huwa siwaelewi vile! Kwa nini akizungumzwa mwansmke mnakimbilia kwa mama, shangazi, dada etc. Mbona mtu akioa/kuolewa hamsemi kaolewa na baba, mjomba, kaka yake. Tujifunze ustaarab jamani kwani hata mleta mada kasema baadhi na wala siwote. Kwani sihata nyie mmekwisha prove hilo, kila kukicha mnadai "mwanaume hela, sura tutavumiliana". Kuna tofauti gani kati ya nyie na huyo binti mkenya.....!?
 
na kweli mwanaume hela unahela untaka nini... kichaa pia mimi
 
Hahaha..hapo umemaliza..!
Lakini mbona nawaona kwenye 'matatu' wakisoma michango ya jf? Hii forum ni hatare kwa kweli, kila mtu anacho..!

duh mkuu umeniona mimi nini.....maanake jf pages huwa zinafanya safari yangu inakuwa fupi.
 
Mbona hapa nyie maskini mnalalamika sana.Ukweli ukisemwa unawauma.hamnaga gari ila tu mnamiliki cmu zenye uwezo wa internet baaaassssssii
 
duh mkuu umeniona mimi nini.....maanake jf pages huwa zinafanya safari yangu inakuwa fupi.

ha haha.. huwa naona sana nikiwa kwenye matatu..! yaweza kuwa wewe ujue..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom