wewe ndo wakufanya asiwe na stress ili dushe isimame,unampa moyo kuwa ipo siku mtafanikiwa lakini bwana uwezo wake hela ya kula akirudi hom unadai vitenge vya kongo mara mawigi kwanini asiwe na stress?hela ya kutafuta wote nzuri bwana asikudanganye mtu.
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..
Watu wengi wanachangia nadhani hawajamuelewa vizuri dada wa kenya ngoja nidadavue vizuri,mie nimemuelewa anamaanisha huwa anashangaa sana akimuona mtu mwenye pete ya ndoa akiwa kwenye daladala inamaanisha hakujua vipaumbele kwanini ukimbilie kuoa kutumia 20m kwa ajili ya sherehe ya siku moja tu baadae unaanza kupiga mihayo na kudandia daladala kwanin hiyo 20 usifanye ya maana? Ndoa zenyewe nyingi ni kupasha vipolo.
Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?
Mi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?
Sasa mwanaume akishakuwa na akili ya kutafuta na kupanga maenedeleo, ukishakuwa mtafutaji maana yake utakuwa na pesa, ukiwa na pesa utafanya maendeleo ikiwa pamoja na kununua magari. Kuwa na gari sio luxury siku hizi, gari siku hizi ni basic needs
Mi mbona sioni tatizo na hyo post yake? Fact..myself I cnt imagn tht woman who married a man without a car
Foundation gari isiwe kigezo cha kukubaliwa,usiowe mpaka uwe na gari na nisiolewe mpaka uje na gari?makubwa.
Hao mademu sio wanawake
You want a man with a Range rover while
your Dad has a bicycle....Be humble like
your mum
Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?
Kwanin??vikojoleo vyao vipo unique au??
Wewe sema badhi ya watu...kuna watu IQ zao ni ndogo sana awe mwanamke au mwanaume..
angeomba kwa mungu azaliwe YOKOHAMA
Hapa hata magari ya mkopo yanahusika?