Wanawake wengi akili hazijatulia

Wanawake wengi akili hazijatulia

Kuvaa pete siyo kufanya sherehe ya hata 3m unaweza vaa ukawa umefanya sherehe ya laki nne alafu huyo naye hazimtoshi angezungumzia hata anashangaa kuona mwanaume ameoa yuko nyumba ya kupanga ila zzzzzz walionunua magari wakiwa wameoa alafu wako nyumba za kupanga wake zao wanavitabia vya type hii ila natanguliza samahani msitoe mapovu.
 
Duu hawa wanawake hawaeleweki ni pasua vichwa usiombe kwani yeye nani kamnyima asinunue aolewe akiwa nalo hapa ni mwendo wa haki sawa mpaka mtajuta kuomba haki sawa kama siyo kuomba poo.

Nimecheka tu,au kwa nini wasitafute wote wakanunua hilo gari.?
 
Haya c yetu macho!
Kuna wenye magari na kila kitu na wanalia!
Cha msingi upendo na amani na maendeleo yanafuata
Kwasbb km kuna upendo na amani hata mkipanga mipango ya maendeleo inaenda vzr na Mungu anawasaidia
 
You want a man with a Range rover while
your Dad has a bicycle....Be humble like
your mum

Huo ulikuwa ujinga wa mama yangu..he married my dad akiwa hana mbele wala nyuma mama akauza hadi vitumbua bdy mazao wakaja kutajirika saana then baba yangu akamuacha sayn hawaendan tena while they fought 2gthr..so mi sianzi frm zero na mwanaume ng'oooo
 
kwani wanaume wote wanafanana
 
wanawake wenye akili kama zako wamebaki wachache sana siku hizi

Kilaza usingizi ndo kila kitu,mnaweza msiwe na chochote lakini ule upendo na raha nitazopewa na boy wangu nasahau kila kitu nalala fofofofo nakuhisi dunia yote tajiri ni mimi,kinyume chake hakuna hayo maumivu,uchungu na machozi kila siku
 
Huo ulikuwa ujinga wa mama yangu..he married my dad akiwa hana mbele wala nyuma mama akauza hadi vitumbua bdy mazao wakaja kutajirika saana then baba yangu akamuacha sayn hawaendan tena while they fought 2gthr..so mi sianzi frm zero na mwanaume ng'oooo

Unaweza ukavikuta vyote kwa mwanaume na ukanyanyasika vibaya sana,binadamu tunafanana ngozi sio tabia.
 
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..
 
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..

hahaha hii kiboko
 
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..

wewe ndo wakufanya asiwe na stress ili dushe isimame,unampa moyo kuwa ipo siku mtafanikiwa lakini bwana uwezo wake hela ya kula akirudi hom unadai vitenge vya kongo mara mawigi kwanini asiwe na stress?hela ya kutafuta wote nzuri bwana asikudanganye mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom