Wanawake wengi akili hazijatulia

Wanawake wengi akili hazijatulia

Anajijua ye ni mmoja kati ya wale wanawake wasiopenda kuolewa na wanaume wasio na magari,kama huna gari we si mwanaume na hutakiwi kuwa na mke. Makubwa!

zamda
kuna wanawake wanaopenda kuolewa na wanaume wenye magari na wale wasiopenda kuolewa na wanaume wenye magari .......??????

samahani lakini wewe mrembo uko kundi gani .....
unapenda kidume chenye kivitz cha mkopo.....
 
Mi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?
 
Sema mmoja wengi wangapi wameandika?

mkuu miss chagga mpaka kufikia "conclusion"hii ni kwamba nimeunganisha vioja mbalimbali

kiuhalisia vioja hivyo ni kichaa peke yake anaweza kuvifanya ....

lakini mkuu kuna gazeti pendwa lilitoka wiki hii yenye kichwa cha habari "Dar watu wengi ni MACHIZI" sijui na hapo umeelewa nini

lakucha mae .......
 
kwa maana hiyo hata mama yako aliyokunyonyesha ni kichaa?

nawaheshimu sana wakina mama.
 
Mi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?

ur very intelligent
 
Nafikiri ni hutaki na sio utaki.
Na kichaa ni huyo uliyekuta ameandika hiyo mada.Hakuna habari ya sio wote wala wengi.
 
mkuu miss chagga mpaka kufikia "conclusion"hii ni kwamba nimeunganisha vioja mbalimbali

kiuhalisia vioja hivyo ni kichaa peke yake anaweza kuvifanya ....

lakini mkuu kuna gazeti pendwa lilitoka wiki hii yenye kichwa cha habari "Dar watu wengi ni MACHIZI" sijui na hapo umeelewa nini

lakucha mae .......

Lakucha mbe
 
Duu hawa wanawake hawaeleweki ni pasua vichwa usiombe kwani yeye nani kamnyima asinunue aolewe akiwa nalo hapa ni mwendo wa haki sawa mpaka mtajuta kuomba haki sawa kama siyo kuomba poo.
 
Watu wengi wanachangia nadhani hawajamuelewa vizuri dada wa kenya ngoja nidadavue vizuri,mie nimemuelewa anamaanisha huwa anashangaa sana akimuona mtu mwenye pete ya ndoa akiwa kwenye daladala inamaanisha hakujua vipaumbele kwanini ukimbilie kuoa kutumia 20m kwa ajili ya sherehe ya siku moja tu baadae unaanza kupiga mihayo na kudandia daladala kwanin hiyo 20 usifanye ya maana? Ndoa zenyewe nyingi ni kupasha vipolo.
 
Mi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?

Gari uchawi wa kizungu ngoja niendelee kukata mkaa one day na mie nitavuta hata ka passo kakung'olea warembo town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom