Wanawake wembamba mnashida ipi mna gubu,hasira mda wote usikerwe kidogo tu maneno na matusi, mnamajungu na umbea umeanza kwenu,.. mjiangalie sana badilikeni sio kila anaewatongoza anawapenda mnajiskia sana kwanza mkikata kona cha mwisho kuona ni mgongo...
Achaneni gubu mpendwe nyau wakubwa..
Hapa umetoa hoja ya jumla jumla tuu kama vile una kisirani Cha kukataliwa mkuu.
Haiwezekani hata siku moja wanawake wa 'category' flani wakabeba sifa za aina moja, never!
Tabia za wanawake wenye umbo flani zimetofautiana sana hauwezi kuwagroup kwa sifa ya aina moja.
Halafu wanawake wembamba unaowadofu wewe, Wana sifa njema za ziada kuwazidi wanene unaowasifia nikwambie sasa.
Lakini naweza kusema unafuata haiba yangu, hasa ninapompenda mwanamke.
Nikimpenda ninapoanza kumsorolea, huanza kwa kumchangamkia kuonesha nia, mwisho wa siku akiniignore namchukia, napata package moja yenye mambo mawili yenye kuhasimiana yaani upendo na chuki kwa pamoja, ndicho kilichokupata mwenzetu.
Uwe muwazi, kwa maandiko yako haya, umekataliwa nia Yako ya kimapenzi pahala, ukaamua kuja na vijembe humu jamvini!
Nani alitafiti na kuja na jibu la kuwa mwanamke mwembamba pekee ndiyo mbaya?
Wenzako kuwa nao tunainjoi na kuona Dunia imetupendelea.
Wembamba Sasa hivi ni cheo, wanaume wengi waliwatamani na kuamua kuwaowa, lakini wakawabadilikia wakiwa mikononi mwao wakanenepeana na wasijue la kufanya na Sasa wanajuta na kuanza kukodoa nacho nje!
Unapomgusa mwanamke mwembamba kwa khashifa, tayari unakuwa umezigusa hisia zangu na maslahi tangu