James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,239
- 13,620
Mtoa post..you are with the force today...may the force continue to be with you
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Wembamba wana gubu balaaa km huyoMie mwenyewe sitaki malumbano sawa kila mtu afanye yake
Utamu wa **** maji acha ushambaVimbaombao vinajituma kwenye 6/6. Alafu asilimia kubwa hawanaga maji mengi. Wala kunuka papuchi
Aiseee daaah!Akikaa kwenye kiti anaeneaView attachment 746798
Pole sana kaka, kwa kutokujua siri ya mtungi. Kwa taarifa yako, Siku utakapoonja kimbaumbau utang'ang'ania kama super glue.Wanawake wembamba mi nawaonaga kama mistimu tu ya umeme
nikipashana nao hata sigeuki
Mmmmmmh wewe utakuwa mwanamke aiseee ili upige bao kiurahisi kunahitajika joto sasa mwanamke mnene joto liko nje nje tu sekunde tu Lakini kimbau mbau hadi uhemeeee na majasho kukupata na usugue saaaana na ukipiga kimoja tu ndio kwisheneaPole sana kaka, kwa kutokujua siri ya mtungi. Kwa taarifa yako, Siku utakapoonja kimbaumbau utang'ang'ania kama super glue.
Nyama tamu ni ile yenye mifupa. Supu tamu ni ya mifupa. Kalaga baho.
haha nipo maza hausi kimbaumbau nayeonekana housegirlHivi douta Heaven Sent umeingia huku mama ustadh?
Mh kwani unene na makalio vina uhusiano..kuna mabonge migongo imeunganika na makalio yaani kioni hakipo kabisa..Pia unene una soko vilevile, wapo wanaotafuta nene mpaka wanavaa magodoro kwenye makalio matokeo yake wanapata walio tenge kama kona ya barabara kalio lina pinda![]()