Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Pia Wadada wembamba wabatupa sana tabu kusoma mabeno ya kwenye kanga... mtu kanga imemzunguka mara tatu aaah..[emoji41]
Duu aiseee [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] jamani
 
Hivi mwanamume mwenye akili timamu aliesoma mwenye dira ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri.

Mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana kama msichana wa kazi tu.

Unatembelewa na rafiki yako anaingia sebuleni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi, yani ukiwakuta wamekaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi, haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaa robo siti yani kuna wakati unafikiri uko peke yako.

Mtu akikuomba lifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekee yako, akifungua wala kumbe kuna mtu.
Husemi uongo ni kweli zamani niliogopwa kuolewa kisa mimi ni mwembamba yaani mtu akitembea na wewe ni kazi sana wageni wakija kazi sana wanashangaa mama yuko wapi kumbe uko hapo wanadhani mtoto wake ama ndugu kaja kusalimia.
Ila sasa mtoto mashaaalaah baada ya kunywa supu ya pweza watu wanajiamini huyu ndio wife wanakubali .
Wanaheshimu shem yupo hapoo .
Yaaani mpaka rahaa heshima debe.
Raha unene ila sio saanaa.
 
Yap unene kiasi wanaita kunawiri
 
Wakuache miaka 100 madam, hawajui raha ya mwanamke mwembamba
Tena watuache kaeni na minyama uzembe yenu. Kama mwembamba ila shape imejigawanya vilivyo na sio mgumu shida iko wapi dear? Hayo mabonge mengine magumu kama fenesi[emoji13] [emoji13]
 
Tena watuache kaeni na minyama uzembe yenu. Kama mwembamba ila shape imejigawanya vilivyo na sio mgumu shida iko wapi dear? Hayo mabonge mengine magumu kama fenesi[emoji13] [emoji13]
Wanaita easy to handle kila mchezo unachezeka
Wanawake wembamba ni watamu balaa
 
Tena watuache kaeni na minyama uzembe yenu. Kama mwembamba ila shape imejigawanya vilivyo na sio mgumu shida iko wapi dear? Hayo mabonge mengine magumu kama fenesi[emoji13] [emoji13]
Hahahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]magumu kama fenesi uwiii
 
Yani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
Hahahaaaaa Dah Sipati Picha!
 
Mwanamke mnene ndio bora mpaka wakati fulani unampiga chabo akiwa kajiachia kitandani,wazungu hao.
 
Juu mdogo chini kajazia hapo raha tupu Lon sio furushi is pamba yaani km mbuyu hiyo noma
 
Back
Top Bottom