Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Kuna wanawake wembamba ila papuchi imejaliwa nyamanyama yaani lile tumbua kubwaaaaa utadhan nyama zote zimehamia kule bondeni..basi mpaka rahaa, wanene hapana watanisamehe, ile mipingili ndio inatoa stimu zote
 
Hakuna raha kuwa na mwanamke mwembamba
 
Tuseme ukweli tu kiafrica mwanamke ni uwe na nyama nyama

Mimi nikiambiwa nichague kati ya mnene shapeless na wembamba km moja ntachagua kibonge shapeless mara mia kuliko wembamba kha mume akigusa abonyee sio kupigwa na ugoko

Kuna mamdogo wangu ni mwembamba alishagakuuuuuula weee lkn hanenepi tabia zake sasa uroho uchoyo mdomo mrefu gubu zake sasa kuvaa mpk ajaladie ukikatiza mbele yake ni misonyo tu ( wivu wa nyama nyama zetu)

Akitaka kwenda kwa mumewe anaomba abakiziwe mkaa jikoni ili aote moto apate joto

Wembamba nauchukia sababu nimeishi nae na niliona mahangaiko yake loh!!! Mumewe ni bonge na akivaa gauni ana shape kumzidi mkewe yaani humo ndani ni mapicha picha wanavyoishi
[emoji16][emoji16][emoji16] heee jamani uchoyo mpaka unakonda ila wengine wanakula mpaka unashangaa, kuna mkaka 1
alikuwa anamwambia mkewe na katoto kao nyie mnakula balaa lakini mbona hamnenepi?
 
[emoji16][emoji16][emoji16] heee jamani uchoyo mpaka unakonda ila wengine wanakula mpaka unashangaa, kuna mkaka 1
alikuwa anamwambia mkewe na katoto kao nyie mnakula balaa lakini mbona hamnenepi?
Hata waleje kunenepa kwao ni NO
 
Dah...tuna uhuru wa kuongea ila tupunguze kdg ukali wa maneno mm binafsi mgonjwa wa mizigo ila c vyema kuwaongelea hvyo kila mmoja ana ladha zke hii hata wanawake wanayo wakianza kuponda wanaume mwembamba ama wafupi hadi mtu anajihisi hakupaswa kuwepo duniani!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kazi ipo kuwe mpangaji na mwenye nyumba aje kuulizwa mpangaji mother house hununa hao[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], kuna mbaba aliambiwa na wafanyakazi eti tumepita dukani tumemkuta mfanyakazi wako mzee na kitambi chake kacheka cheka ni mke wangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mhhhhh!!!!!!!!!
 
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
hahaaa....humu kuna watu wehu"" mimi nikasome aiiseee...akiingia kwenye Gari "" ana kaa robo siti..??.hahaa
 
Sasa umkute ndani amevaa dera lake utamkoma anavijishaua[emoji3]..

Ila Sema vinajua kweli kutandika vitanda[emoji6]
 
Back
Top Bottom