Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Watu mnatafuta ugomvi sana humu.

Mimi napenda vimbaumbau mnisamehe tu[emoji16][emoji16]
 
Kiuhalisia kila Mwanamke ana thamani...!

Wewe unaona Mabonge ndio wazuri ila yawezekana wengine wanamwomba Mungu kila siku wapate wembamba wenye akili na sio wanene wenye matako.

Watu wanatofautiana vigezo katika kupenda....!


Wabillah Tawfiq.
 
Una unalolitafuta aisee mtupishe jamani, tukibaki vibonhe mnatusema, tukijikondesha bado mnatunanga.... Daah
 
Hivi mwanamume mwenye akili timamu aliesoma mwenye dira ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri.

Mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana kama msichana wa kazi tu.

Unatembelewa na rafiki yako anaingia sebuleni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi, yani ukiwakuta wamekaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi, haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaa robo siti yani kuna wakati unafikiri uko peke yako.

Mtu akikuomba lifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekee yako, akifungua wala kumbe kuna mtu.
Haya ni mawazo ya mwanaume masikini wa kiafrika aliyekulia kwenye mazingira duni hasa uswahilini huko ambako wanawake wanashindana kuonesha makalio kwenye vile mnavyoviita vigodoro.

Mara nyingi mwanaume wa kiafrika linapokuja suala la kuchagua mwenza kigezo chake cha kwanza ni mvuto wa kingono, na mvuto wenyewe wa kingono wanaangaliaga makalio tu. Na tabia hii ya kuangalia makalio pekee kinaonyesha jinsi gani mwanaume wa kiafrika anayoithamini sana ngono kuliko kingine katika ndoa.

Haya Maelezo yako yako yanatia ukakasi na yanaonesha ni jinsi gani wazazi wako walivyoshindwa kukupa malezi mazuri hili uwe na hekima na busara. Naamini kabisa katika familia yako kuna wanawake wembamba, sasa je kwa hii dhiaka unayoitia hapa kwa wanawake wembamba hao wa huko kwenu wakiiona watakuchukuliaje? Wataridhika na kujipongeza aina ya kijana walionae anaekuja kuwatukana mtandaoni? Unamaanisha kwamba huko kwenu hao wanawake wembamba hawakustahili kuolewa??

Kutokana na uwepo wa wajinga kama wewe wenyewe fikra finyu muda mwingine naona ni heri serikali ya ccm iendelee kuwaburuza tu.
 
Una unalolitafuta aisee mtupishe jamani, tukibaki vibonhe mnatusema, tukijikondesha bado mnatunanga.... Daah
Mnatakiwa mbadilike kulingana na tunavyotaka muwe
 
Back
Top Bottom