Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Poa ngoja niendelee nae taratibu kama anaogopa nitamfata maeneoPole Pole tu anatoa
Mpeleke tu kama kinyonga
Poa ngoja niendelee nae taratibu kama anaogopa nitamfata maeneoPole Pole tu anatoa
Mpeleke tu kama kinyonga
Kuna tofauti kubwa kua mnene na kua na makalio makubwa.Ingekuwa hivyo watu wasingevaa makarai au magodoro
Sio vizuri jamani! [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Utakuwa unajitetea tangu lini chips ikaliwa bila kachumbali? Mwanamke Nyama bhana sasa na hizi mvua utatoa wapi joto usiku ili upate usingizi? Maana kimbau mbau hakina joto mifupa tu
Kama ulivyo wembamba wakuzidi pia unene wa kuzidi upo hapa kinachotakiwa ni neutral , kila kinachozidi sio kizuri basi, kwani hakuna mtu aliye mnene au kanawili na anapendeza!Huo unene au kutafuta makalio makubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana wapo vibonge ambao wamepigwa pasi na wapo wembamba wenye wowowo.
Wanatafuta joto huko ngoja sie kambi popote tuendelee watatukuta [emoji16][emoji16]Mbona vimbau mbau hamchangiii nawaona mnachungulia tu mnasepa na kujifanya kuwa mko bize na kutoa maji ndani tunahitaji michango yenu humu
Twende tu tulisongeshe MrHaa haa Mrs unajua c banduk
Ulipo nipo
Ukisha itwa kimbau mbau hata matako huna na hata Kama wewe ni mwembamba Lakini matako yapo tiiiii wewe unawekwa kwenye kundi la wanene figureKuna tofauti kubwa kua mnene na kua na makalio makubwa.
So unamaanisha masogange ni mnene?Ukisha itwa kimbau mbau hata matako huna na hata Kama wewe ni mwembamba Lakini matako yapo tiiiii wewe unawekwa kwenye kundi la wanene figure
Ndiyo hivyo kila kitu kina raha zake na karaha zake, kinachotokea mtu anaoa mwembamba mke wapili au mchepuko mnene, fuatilia mwenye mke kimbaumbau afutaye bonge why??????Mwingine anasema akizaa hata nyonyesha
Maana chuchu ztalala
Kaaz kweli kweli
Kuna vimbaumbau wengine n kamaInategemea bwana!
Akitunzwa vizuri mbona atabadilika tuu mpaka utamkimbia jamanii
Kwa hiyo hawastahili kuolewa au?!Kuna vimbaumbau wengine n kama
Wamridh kwenye ukoo wao
Havinenep hata uvitunze dunia yote
Sasa ndugu useme mie mnene kifua 50 hps 38 utajinasibu wewe mnene hapo si unakaa kati, mf.kifua 38/40 hps 42-46 huona hapo vinaendanaKuna tofauti kubwa kua mnene na kua na makalio makubwa.
Subili itakuja tuHaa haa haa ngoja nisubir
Mitego iingie 18
Huwezi kunielewa kama mie nisivyo kuelewaMimi hata sikuelewi unachokisema.
Umeona eee hembu mpe somo kuna wembamba huo mtu akisimama na nguzo ya umeme haonekaniUkisha itwa kimbau mbau hata matako huna na hata Kama wewe ni mwembamba Lakini matako yapo tiiiii wewe unawekwa kwenye kundi la wanene figure
Basi to cut the story short kila mtu aendelee na habari zake.Huwezi kunielewa kama mie nisivyo kuelewa
Kuna miili mingine huwa ya hivyo hivyo awe mnene au mwembamba ni hivyo tu maisha yake, hujawahi kutana naKuna vimbaumbau wengine n kama
Wamridh kwenye ukoo wao
Havinenep hata uvitunze dunia yote
Mm cjabagua nmetolea tu example af vimbaumbau wengiKwa hiyo hawastahili kuolewa au?!
Mungu hapendi ubaguzi ujue