Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Nimeipenda hii, lakini kumbuka kuwa hakuna mwanamke mzuri Duniani kuliko Sarah, Mke wa nabii Ibrahim. Na hayupo mwanamke aliopewa daraja la juu kuliko Mariam, mama yake Issa (Yesu)
hii itakuwa twiga style
Ni wazuri ila hawamfikii my wife,
Hawa ni warembo tu, sio wazuri kihivyo. Mzuri ubamtambua kabla hajaweka urembo wowote usoni. Ma makeup, madhahabu, mawanja, malipstick kibao, ndio uzuri? Nop! Ni warembo.
HIVI kama mwanamke unajijuaje kama ni mto nile au misuli imelegea-cause from experience kila mwanamke under the sun uwa anajisifiamwanamke k bwana unaweza kukuta huyu huko chini ni mto nile au misuli imelegea... au unasemaje mkubwa
huyo si kama wema sepetu tu!hakuna kitu hapo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums