VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 799
Hebu wapigwe picha waamkapo asubuhi au kabla hawajaenda saloon kisha muanze kuelezea uzuri wao vinginevyo hawana tofauti na wa Maji Matitu-Mbagala, Uyui Tabora, Malampaka-Shinyanga, Matombo-Morogoro,Nyamanoro-Mwanza' Barabara ya 14 Tanga na Nyamongo-Musoma.
Wakipigwa picha asubuhi waamkapo bila make ups tena they will look even sexier na utawapenda zaidi