[h=3]WANAWAKE WAWILI WAZURI KULIKO WOTE DUNIANI[/h]
Fathima Kulsum Zohar Godabari who was once a royal Princess is now an official Queen in Saudi Arabia. She was recently photographed without niqab covering her face and the pictures were published on the internet, exposing her beautiful facial features to the world for the first time. Since the release of the pictures, many have argued her to be the most beautiful woman on earth.
Nimeipenda hii, lakini kumbuka kuwa hakuna mwanamke mzuri Duniani kuliko Sarah, Mke wa nabii Ibrahim. Na hayupo mwanamke aliopewa daraja la juu kuliko Mariam, mama yake Issa (Yesu)
kuna ka wimbo ka zilipendwa kana maneno haya 'uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia ee!!' uje kuta ni wazuri kwa sura, ukifika kwenye maana ya mwanamke inakuwa tabu.
Sifa ya uzuri ni nini?
Somalia,Rwanda,Pangani,Arusha,Tanga,Zanzibar, Mtwara,na ukanda wote wa Pwani utakutana na face BOMBA zaidi ya hizi tena natural..