Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,468
- 2,180
Hasa wanawake wanene..wanapenda hii style sana..hahaaaDuh! Nimecheka sana, eti mazishi ya mende.
Hasa wanawake wanene..wanapenda hii style sana..hahaaaDuh! Nimecheka sana, eti mazishi ya mende.
Ndio hapo sasa Sesten.Kuna michezo miingi kabda ya tendo, hata maongezi matamu pia yana raha yake na yanasisimua.....sioni kwanini ulazimishe style ambayo mwenzio hatakua comfortable nayo
Maana sasa kama kuna anaepata maumivu kuna kufurahia gemu tena hapo? Wanaume tuache ubinafsi kitandani lazima tujali hisia zenu Hajar eeh😉😉😉😉Ndio hapo sasa Sesten.
Cha joho hichoUrongo urongo hawajui chochote ila ni mabobulishi tu
Lipi umependa?Haya majina mkuu! Ufafanuzi tafadhali!
Kuna na harufu ya maiti yenyeweHahaha....na hiyo siku mende akizikwa na MTU lazima atangaze maumivu ya kiuno
Kabisaaaaa. Yaani mzijali tu ili wote tupate hiyo raha na sio mmoja kakunjwa na kubaki kusikilizia maumivu huku mwingine anafurahia kumkunja mwenzie.Maana sasa kama kuna anaepata maumivu kuna kufurahia gemu tena hapo? Wanaume tuache ubinafsi kitandani lazima tujali hisia zenu Hajar eeh😉😉😉😉
Basi mkiumiaga mseme msikalie tu kutaka kuturidhisha wanaume huku nyie mwaugulia maumivuKabisaaaaa. Yaani mzijali tu ili wote tupate hiyo raha na sio mmoja kakunjwa na kubaki kusikilizia maumivu huku mwingine anafurahia kumkunja mwenzie.
Mzigua90Tafuta kabila linaitwa Wazigua wanapatikana kwa wingi Handeni mkoani Tanga huwezi kujijutia
Tafadhali kama huna mbegu za kutosha usiende
Hahaaaa. Sawa Sesten.Ba
Basi mkiumiaga mseme msikalie tu kutaka kuturidhisha wanaume huku nyie mwaugulia maumivu
Hayo ndio maneno banaa fungukeni msifanye kama mshumaa unamulika huku wenyewe wateketea,maana hakuna raha kwa mwanaume kama ukiwa umemfurahisha haswaa na kumridhisha mpenzi wako bila kumpa karaha na keroHahaaaa. Sawa Sesten.
Na usijali tutawafungukia tu.
Umeeleweka sana tu ila jaribu kuongea nae kwa uwazi. Maana wengine wanafanya hivyo vitu kwa mazoea bila kujua ni makosa.
Kumridhisha na kumkamata mwanaume ni vitu viwili tu
1:Tumbo lake kwa kumpikia vyakula tofauti na vyenye rad ha tofauti.
2:Kitandani kujichetua uwezavyo.
Basi ni hayo tu hakuna uchawi mwingine
Sikua nimeona hii
Sio tu kupenda, majina yananishangaza mkuu! Mara Kinyozi, msituni Mara ice cream. Fafanua tu yoteLipi umependa?
Sio tu kupenda, majina yananishangaza mkuu! Mara Kinyozi, msituni Mara ice cream. Fafanua tu yoteLipi umependa?
Nitakuja pm kukufafanuliaSio tu kupenda, majina yananishangaza mkuu! Mara Kinyozi, msituni Mara ice cream. Fafanua tu yote
Umesahau na popo kanyea mbalamwezi ni noma mkuuSiku hizi kuna vitu vipya jamani
Kifo cha mende kimepita wakati
Kuna
Kata wewe
Ice cream choco
6 and 9
Jikite msituni
Kilio cha mbwa koko
Kinyozi nk