Wanawake na mbinu hii

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
2,870
7,171
Well, kitambo kidogo sijaweka andiko hapa!!!

Ni matumaini yangu Wana MMU mko salama nmaendelea vyema na majukumu ya kila siku ,,,, !

Back to the topic, kuna mdada nilikuwa navizia vizia mda tu akawa analeta zile pigo za nataka sitaki, Ni single mother flani anadili na Mambo ya urembo(self-employed) Mara anataka serious relationship, eti Kama unanitaka twende kwetu ,,,, ooh wanaume siwaamini! Jeuri kibao Mara simu hapokei, msg anajibu akijickia! Mm sikua na malengo nae , ilikuwa tamaa tu, nikampotezea,,,

Juzi kati naona ananitafuta kwa kasi ya ajabu,,,lawama kibao,, ooh wanaume ndo mlivo, kukuajibu njoo jitambulishe ndo ukanipotezea mazima! Mm nikamjibu Kama ulileta maringo ulitegemea Nini ?? Akaja na pigo ooh dogo anaumwa nibust basi kidogo atibiwe,,, nilitaka nimtolee nje au Ni mjibu Kwan Hana baba ?
Oky jion nlivotoka job nikampigia hosp alipokuwa(dogo alilazwa) , nikamcheki kiasi kadhaa ili alipie bili, ,,,mm nikaondoka , kesho yake wakaruhusiwa,,,

Baada ya hapo naona amezidisha kunitafuta kila mda mpk kero, ameanza na kunicontrol, ooh mpk sa hizi hujarudi, mbn nackia makelele upo bar au, mbn nackia sauti za wanawake Yani Kama amijipa cheo cha mke ,,,,

Juzi akanicheki mchana, ooh ukitoka job please njoo nyumbn Nina mazungumzo na wewe,,, nikaitikia poa, jion nilivotoka huyu kanipandia hewani, nakusubiri,,, nikafika home nikajiandaa nikaenda,,, nikamkuta alone, anakunywa image ndogo zile anapenda kumix na coca, na mm kaniwekea Yale maji yetu ya uzima chupa kadhaa kwenye fridge,,, !! Tumegonga vyombo, Mara anaanza kucheza (dhalili za kulewa), mze mzima nacheki tu, sikutaka nikolee, mwisho we had sex,,, nikiri kabisa she is good Sana kunako, machine bado namba D (ana haki ya kuringa ) ,,,,

Kesho yake baada ya kunipa mzigo eti nimkopee 450k alipe Kodi, kaja na maelezo kibao, dogo katoka kuumwa(anajisahau nililipa bill yote) , mara eti biashara mbaya,,, ! Yani ilimradi tu apate sababu,,, sikumjibu, nilimuambia ngoja nitakucheki,,,,

Ifahamike huyu mtu Sina uhusiano nae, na Sina mpango huo,,,,, !! Nawaza nimpige chenga ya mwili !! Mwanzoni alinidengulia Sana, sema Nini ? Nataka nipashe kiporo kwanza !

Wanawake ndo staili zenu ? Mnalazimisha mahusiano? Au unamtegea jamaa akila Mara moja unakuja na mlolongo wa shida! Mtaliwa Sana kwa staili hii
 
Ayseee... Hivi mbona vibomu vya Ke na lawama za Me kupewa majukumu ya wazazi wa Ke zimezidi sana mitandaoni?

Inamaana hapa pia tuilaumu katiba au sisi wenyewe akina Junior
 
Msaidie kumsaidia sio.mbaya ila mwambie huna mpango endelevu ila kwa matumizi utakuwa unampa ukiwa nayo na hali hii sio kila wakati ninayoo.
 
Back
Top Bottom