Wanawake wavivu kitandani mnaboa

Wanawake wavivu kitandani mnaboa

Siku hizi kuna vitu vipya jamani
Kifo cha mende kimepita wakati
Kuna
Kata wewe
Ice cream choco
6 and 9
Jikite msituni
Kilio cha mbwa koko
Kinyozi nk

Kuna mpya kabisa inaitwa: Mtapata tabu sana.
Giza limeingia nitaelezea kesho.
 
Mkuu ACHA KUANGALIA PORN, wale pale wapo kazini,,,khaa ungekua hufanyi COMPARISON sex life yako ingekua poa as sex ni nyie wawili 😂😂😂😂😂😏😏😏
 
Unakuta uko na mpenzi wako ambae mko kwenye mahusiano muda tu zaidi hata ya mwaka lakini kila mnapoingia kwenye ulimwengu wa kupeana raha za dunia chumbani mwanamke hataki kubadilika.

Kila siku anataka staili moja tu au mbili nikimaanisha mbuzi kagoma kwenda na kifo cha mende.Ukimwambia geuka hivi anakuambia ooooh hivo me siwezi yani anataka tu kila siku mfanye staili moja ile wanawake wanayoitumia kujifungulia leba.

Yani kila siku yeye ni kifo cha mende tu siku ukimwambia basi leo tufanye hata mazishi ya mende anakwambia ooooh hiyo me naumia, na kuna wanawake wanaenda mbali zaidi kusema kwamba ukimweka staili ya mbuzi kagoma kwenda eti unamsukuma kizazi.Yani kila siku mende anakufa tu haijulikani atazikwa lini.

Mambo yamebadilika dada zetu hivyo hamna budi na nyinyi kubadilika mnapokua na wapenzi wenu sababu hampo pale kwaajiri ya kukamilisha zoezi lahasha bali kila mmoja anatakiwa akitoka pale awe ameridhika.

Nadhani kwa hayo machache nitakua nimeeleweka kiasi flani, ambao hamjanielewa mniwie radhi.
Hahaha
 
Back
Top Bottom