Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Yaani! It really is that simple. Tafuta unaelingana nae mbona wanawake wa design anayotaka ni wengi kushinda hata waliosoma zaidi ya sekondari? Kila siku nyuzi zile zile kuchamba waliosoma na kujiendeleza. Hizi tabia ina maana hazikuonekana mpaka wanaingia kwenye ndoa? I find that hard to believe.
Kwa lugha nyingine kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake,kama yeye wasomi anaona hawamfai, aende panapomfaa, maisha yenyewe mafupi ya nini kutesana bana
 
Kama hajiamini bora aoe ngumbaru, wenzio akitaka kuoa mwenye degreebyeye anadanya masters, akitaka uoa mwenye masters basi anahakikisha na PhD

Kama elimu ya mtoa mada ni degree bora aoe darasa la saba makana anaonakana hana imani kabisa na wasomi
Moja ya silaha kubwa ya mwanamke ni kujitahidi kutumia neno "Mwanaume kujiamini" . Silaha ya mwanamke ni shaming a man bhaaasi.

Nimeuliza swali kujua experience za wenzangu na sio jambo baya.

Mpaka sasa nimepata hiyo experience.
Huwezi kuniambia hao wanaume wote hawajiamini. Sijajua hao wanaume wanaojiamini wanapatikana sayari gani.

Mwanzoni ulichangia vizuri kwa mchango bora uliobalance ila sasa huu sio. Na ukaeleza kabisa kwamba blend ya elimu na malezi ni muhimu maana sasa suala la mwanamke kusoma ni la muhimu na halikwepeki, hakuna pia mwanaume ambae hatasomesha mabinti zake wala ndugu zake wa kike.

Hakuna mwanaume anaeogopa mwanamke msomi ila wanaogopa tabia zao kwa jinsi michango mingi inavyoonesha hapa.

Hili suala limesemwa na wengi means kuna ukweli. Pia hakuna mtu aliesema wanawake wote wasomi wana matatizo (including you). La muhimu ni kujua kuna tatizo na kutafuta namna ya kulitatua kuliko kujidefend.
Wanawake wasomi wengi wamezalishwa kuliko walioolewa. Wengine wamekuwa wanaharakati wa usawa aka mafeminist.
 
Yaani! It really is that simple. Tafuta unaelingana nae mbona wanawake wa design anayotaka ni wengi kushinda hata waliosoma zaidi ya sekondari? Kila siku nyuzi zile zile kuchamba waliosoma na kujiendeleza. Hizi tabia ina maana hazikuonekana mpaka wanaingia kwenye ndoa? I find that hard to believe.
Kuna sehemu nimeorodhesha sifa za mtu nimtakae? Kwanini unahisi unashambuliwa? Mimi sikuwepo humu kwa muda sana. Nimerudi kuuliza. Punguza kujidefend. Kama hamna matatizo kweli, kwanini zaidi ya 80% wametoa negative comments? Lisemwalo lipo
 
Moja ya silaha kubwa ya mwanamke ni kujitahidi kutumia neno "Mwanaume kujiamini" . Silaha ya mwanamke ni shaming a man bhaaasi.

Nimeuliza swali kujua experience za wenzangu na sio jambo baya.

Mpaka sasa nimepata hiyo experience.
Huwezi kuniambia hao wanaume wote hawajiamini. Sijajua hao wanaume wanaojiamini wanapatikana sayari gani.

Mwanzoni ulichangia vizuri kwa mchango bora uliobalance ila sasa huu sio. Na ukaeleza kabisa kwamba blend ya elimu na malezi ni muhimu maana sasa suala la mwanamke kusoma ni la muhimu na halikwepeki, hakuna pia mwanaume ambae hatasomesha mabinti zake wala ndugu zake wa kike.

Hakuna mwanaume anaeogopa mwanamke msomi ila wanaogopa tabia zao kwa jinsi michango mingi inavyoonesha hapa.

Hili suala limesemwa na wengi means kuna ukweli. Pia hakuna mtu aliesema wanawake wote wasomi wana matatizo (including you). La muhimu ni kujua kuna tatizo na kutafuta namna ya kulitatua kuliko kujidefend.
Wanawake wasomi wengi wamezalishwa kuliko walioolewa. Wengine wamekuwa wanaharakati wa usawa aka mafeminist.
pole sana mkuu, wewe angalia tu unaeona atakufaa na mtaendana, hilo ndio kubwa
 
Ila mkuu,
Kwanini wanawake wengi wasomi hawajaolewa?. Naamini unaweza kuchangia bila kuweka emotions

Labda ungewauliza tu, mfano mimi classmates wangu wote wameolewa na ndoa zao zinadumu, sijaua hao wengi unaowazungumza ni wapi, nilienda kijijini hivi majuzi nilikuta mabinti wengi wamezalishwa wapo majumbani mwao wanasaidia shughuli za kilimo, sio wasomi lakini hawajaolewa wanzeekea tu nyumbani...hao unawaweka kwenye category gani

Swala la kuoa au kuolewa halijalishi usomi wala utajiri wala hali yoyote ya maisha

Mimi nadhani tu Mungu hajawajaalia kupata wenza, na ukichunguza sio kwamba wana tabia mbovu au hawawezi kubeba majukumu ya ndoa,

Mfano lile wimbi la wanawake wa mbagala, Temeke manzese wanaokimbilia kwa mwamposa au mlima wa moto kupata kisulisuli cha ndoa, ukiangalia 95% sio wasomi na hawajaolewa mpaka wanaamua kwenda kutafuta ndoa kwenye maombi
Kuna wanawake wana kila aina ya tabia mbovu lakini wanaolewa, tena harusi kubwaa, na akiachika anapata mwingine wa kumuoa, unadhani ni kwa sababu sio msomi labda ndio maana anapata bahati ya ndoa?

Nyie wanaume mkiamua kuoa, hakutakua na mwanamke ambae hajaolewa mtaani, sasa mnataka wajioe wenyewe?
 
Asante umejibu vyema.

Nadhani mstari wa mwisho naweza kujibu kwamba labda wanawake wengi wanaweka standards nyingi wakiwa kwenye peak age

Nina uzoefu wa kuoa wake wawili waliokuwa na masters halafu walikuwa corporate ladies(tulisha achana),
  • kila kitu wanataka usawa
  • Hawafui nguo za mme---ukimwambia nifulie hata boxer na yeye atakwambia umfulie chupi zake
  • Hawana muda wa kupika , wanasema kazi za ofisini zinawachosha
  • Kutoa papuchi ni mpaka watake wao
  • Kazi zote za nyumbani anafanya house girl hata kutandika kitanda
  • Wakiwa nyumbani muda wote kwenye simu au TV
  • Itabidi ujiandae kuwadunda mara kwa mara au uwapotezee au ukubali kuwa fala
NB: Kama ni msomi halafu anahela kukuzidi au mnalingana , ule msemo wa tuishi nao kwa akili hauna mashiko unless ukubali kuwa fala tu
Huyo mmoja nilimdundaga mpaka nikapata kesi

Kwa kifupi 95% hawaoleki
Mmh kazi ipo

Ila hapo ishu siyo usomi mkuu. Kwa experience yangu mwanamke akishakuwa bize na shughuli za utafutaji anakosa muda wa kufanya haya. Uchovu unachangia sana ktk haya yote.

Naye kama binadamu akirudi home anahitaji kupumzika. Ndo maana wengi utakuta wanaspend muda mwingi kwa TV, simu ktk hali ya kupumzika. Wengi hupika au hufua kwa 'remote' yaan kwa kutumia mdada wa kazi. Hata usafi wa chumba chenu tu ni shughuli, kufua nguo za mume mmh. Hapo ndo unakuta wale wasio na mipaka huwatumia zaidi wadada wa kazi.

Sasa hapo ndo ukute mwanaume anapenda kufanyiwa kila kitu na mkewe. Halafu ndo wale wanaume rigid and conservative, wee kazi yake siyo ya kitoto humu ndani. Ni full kulalamika daily
 
Labda ungewauliza tu, mfano mimi classmates wangu wote wameolewa na ndoa zao zinadumu, sijaua hao wengi unaowazungumza ni wapi, nilienda kijijini hivi majuzi nilikuta mabinti wengi wamezalishwa wapo majumbani mwao wanasaidia shughuli za kilimo, sio wasomi lakini hawajaolewa wanzeekea tu nyumbani...hao unawaweka kwenye category gani

Swala la kuoa au kuolewa halijalishi usomi wala utajiri wala hali yoyote ya maisha

Mimi nadhani tu Mungu hajawajaalia kupata wenza, na ukichunguza sio kwamba wana tabia mbovu au hawawezi kubeba majukumu ya ndoa,

Mfano lile wimbi la wanawake wa mbagala, Temeke manzese wanaokimbilia kwa mwamposa au mlima wa moto kupata kisulisuli cha ndoa, ukiangalia 95% sio wasomi na hawajaolewa mpaka wanaamua kwenda kutafuta ndoa kwenye maombi
Kuna wanawake wana kila aina ya tabia mbovu lakini wanaolewa, tena harusi kubwaa, na akiachika anapata mwingine wa kumuoa, unadhani ni kwa sababu sio msomi labda ndio maana anapata bahati ya ndoa?

Nyie wanaume mkiamua kuoa, hakutakua na mwanamke ambae hajaolewa mtaani, sasa mnataka wajioe wenyewe?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] madame hujawahi kuniangusha
 
Asante umejibu vyema.

Nadhani mstari wa mwisho naweza kujibu kwamba labda wanawake wengi wanaweka standards nyingi wakiwa kwenye peak age
Lakini la mwisho kabisa, ili uwe na ndoa yenye amani, oa mwanamke ambae atlist level zenu za elimu zinaendana, lets say wewe ni grade 7b halafu unaoa degree, in short utakua unaona unaonewa tu hata kwa jambo ambalo lipo sahihi

Unaweza tu ukashauriwa usinywe pombe mpaka umalize dozi ukaanza kusema she has opinion in everything even how to be a good husband

Ila mkiwa level zenu za elimu atlist zinaendana au mmezidiana kidogo that means mtakua kwenye same standard, same level of understanding na same level of thinking na hata kutofautiana kwenu kwenye mambo ya kawaida haiwezi kukufanya ukajiona kama unadharaulika, nature ya mwanaume ni kuwa juu. Sasa ili usijione kwamba unashushwa wewe oa unaeona mtakua mnaendana katika uelewa wa mambo pamoja na dhana nzima ya maisha
 
Asante.
Nimekuelewa vyema.
Wewe ni miongoni mwa wachangiaji wa kike waliotoa mchango uliobalance na kusema kweli.

Mkiwa na gape kubwa ni shughuli pevu

Back
Top Bottom