Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

Si kila mtu huandika kwa kubishana. Wengine wanaandika wakitaka kujua ukweli.
Japo mimi ni mkongwe humu kiasi ila sijaanzisha threads nyingi wala kuchangia sana humu.
Mimi siku hizi nimechoka kwa kweli kujibishana na watu wa humu huwa nafanya kupita tu ila najua nitakutana tu na mtu aliyeandika mawazo yangu
 
Yani watu wa humu ni wabishi, akija na opinion yake anataka watu wote tuiamini wakati sio kweli, siku nikiwa na muda huwa nabishana nao tu ila siku sina muda napita kimyaaa
 
Kuoa ngumbaru ni changamoto zaidi kuliko kuoa msomi. ME akifa msomi kama ni muajiriwa familia haitatereka sana ukilinganisha na ngumbaru mama wa nyumbani ambaye kipato chake ni SIFURI. Msomi anaweza akakaa chini kuwasaidia watoto kwenye homeworks zao ukilinganisha na ngumbaru.
Mimi nadhani mchangiaji ana maanisha mwanamke mwenye elimu ya msingi kama kidato cha 4 au 6 anatosha. Hatakua mama wa nyumbani kwani wanaume wengi wanapenda kuanzisha miradi ambayo inasimamiwa na wake zao so hatakua mama wa nyumbani.

Shida ya mke mwajiriwa ni kwamba ajira nayo inakua sehem ya ndoa, kazi za ofisini anarudi nazo nyumbani. Usisahau kwamba ana majukumu ya kifamilia lakini ana deadlines pia, computer itawashwa aendelee na kazi mpaka usiku mzito,mara kasafiri kwenda kwenye seminars,warsha na boss .

Most men wanataka mke ambae anaweza kutawala ratiba zake za kila siku sio kampuni au serikali. Inahitajika balancing act ya nguvu sana.
 
Hii kweli kabisa

With all the due respect, Baba alifanya kosa kubwa sana la kiufundi ila nyakati husika ilimbeba. Kwa wanawake wa zamani yaani wazazi wetu (watu waliozaliwa 1970 kushuka chini) hicho kitu kilifanya kazi ila sio nyakati hizi za sasa.

Hofu yangu naogopa kutoa maelezo marefu hapa. I'll be hijacking original poster thread ila naomba niifungulie thread hii comment yako itafungua kidogo macho baadhi ya wanaume. Kumsomesha mwanamke au kumfungulia biashara ni kosa kubwa sana la kiufundi unless ajisomeshe au ajifungulie yeye mwenyewe kwa mshahara wake.

Hapa nakubaliana na wewe.
Kumfungulia wife biashara ni jambo la msingi sana kwa afya ya familia kiuchumi,wanaume kawaida hutangulia kufa hapo familia una survive vipi kama mama hana shughuli ya kumuingizia kipato. Jambo lingine la muhim ni kupata mke mcha Mungu kweli ,Hawa huwa na hekima sana.
 
Ni kutojiamini tu, hao wengi walioa wasomi kwa kipindi kirefu wako happy kwenye ndoa zao na watoto juu na maisha yanaendelea wanawezaje!? 😳😳

Mimi nadhani mchangiaji ana maanisha mwanamke mwenye elimu ya msingi kama kidato cha 4 au 6 anatosha. Hatakua mama wa nyumbani kwani wanaume wengi wanapenda kuanzisha miradi ambayo inasimamiwa na wake zao so hatakua mama wa nyumbani.

Shida ya mke mwajiriwa ni kwamba ajira nayo inakua sehem ya ndoa, kazi za ofisini anarudi nazo nyumbani. Usisahau kwamba ana majukumu ya kifamilia lakini ana deadlines pia, computer itawashwa aendelee na kazi mpaka usiku mzito,mara kasafiri kwenda kwenye seminars,warsha na boss .

Most men wanataka mke ambae anaweza kutawala ratiba zake za kila siku sio kampuni au serikali. Inahitajika balancing act ya nguvu sana.
 
Ni wanawake tu, changamoto zao sawa tu na za wasiosoma. Usomi kama walivyo wanaume wasomi ndivyo kwa wanawake wasomi ilivyo.
 
Back
Top Bottom