Ni kutojiamini tu, hao wengi walioa wasomi kwa kipindi kirefu wako happy kwenye ndoa zao na watoto juu na maisha yanaendelea wanawezaje!? [emoji15][emoji15]
Wakati wanawaoa hakukuwepo na:
1. Harakati za haki sawa
2. Social media
3. Korean na Philipino's dramma
Shida nyingine unakuta ametumika sana. Huko hostelini alikokuwa akisoma. Zile discussion zikiisha tu ni kuliwa tu. Ni lazima awe mpole ili umtunzie heshimaMimi wangu pamoja na hiyo masta, lakini heshima adabu ua utii unatawala zaidi. Tena mimi ni baba, mume mwenye kujivunia zaidi dadadeki.....
Vijana skuizi wamekua waoga sana wa kuoa wasomi, utadhani hizo degeree na masta ndio zinakulwa bed....[emoji3525][emoji3525]
Kuna mmoja mwanasheria Nilikuwa namkula chuoni Nilikuwa namwambia shida yenu mkishasoma mnadhani na quuuuma zenu Nazo zimesoma ama zona hizo degree. Ananijibu kuwa hata uwe na hasira za kwetu zina sura mbaya ila zinagharimikiwa jamani.Changamoto kubwa ya kuoa Wanawake Wasomi ni kuwa wengi wao ni wajinga mno tena wamefika mbali katika ujinga ulio komaa kwa kuona ya kuwa Elimu zao ndiyo kila kitu, halafu Elimu zenyewe wanazo jifaragua nazo haziwafundishi hata namna ya kula vizuri. (Kama kuna mwanamke msomi humu aje nimuonyeshe ujinga wake ulipo)
Hili hatuwalaumu, sababu mapambio yalizidi sana katika elimu zao.
Kila shetani na mbuyu wake,,kwangu hata kama ni msomi basi awe self employed.Ni kutojiamini tu, hao wengi walioa wasomi kwa kipindi kirefu wako happy kwenye ndoa zao na watoto juu na maisha yanaendelea wanawezaje!? [emoji15][emoji15]
Hahaha nimecheka sana ukivyoandika hivyo. Women ndio huwa selfish. Imagine hata mke wa waziri unaweza kumjua ila kwa mwanamke akiwa hata rais ni ngumu kumjua mumewe. Tuna mifano hai hata hapa East Africa.Wanaume selfish tu ndo wanawazaga sijui mke lazima sijui hajasoma, mkipendana kweli hata awe makamu wa raisi atakuheshimu tuuu
Stop kuwa selfish fanya majukumu yako effectively, support her to achieve her dreams as well and you will have a happy family.
Tena ndo atakua mwelewa mtasaidiana majukumu na kuongea lugha moja.
Mbona ningekuwa nayo hata moja nisingetafuta ushirikiano na weweNa wewe unayo hayo madegrii kwani sista
Hahaaa haya bwana, ila hata mimi najua nisingekuwa level yako kabisaa. Ungekuwa na wasomi wenzio hukooooMbona ningekuwa nayo hata moja nisingetafuta ushirikiano na wewe
Hiyo Ni protocol tuu kuwa first lady anatambulika lakin first man hayupo. Ila wapo very proud nao na wanapenda mfano mama Samia😁😁Hahaha nimecheka sana ukivyoandika hivyo. Women ndio huwa selfish. Imagine hata mke wa waziri unaweza kumjua ila kwa mwanamke akiwa hata rais ni ngumu kumjua mumewe. Tuna mifano hai hata hapa East Africa.
Hahaaa haya bwana, ila hata mimi najua nisingekuwa level yako kabisaa. Ungekuwa na wasomi wenzio hukoooo
Hivi kuna ambao wametumika zaidi ya hawa mwajuma ndala ndefu wa darasa la 7C?!Shid
Shida nyingine unakuta ametumika sana. Huko hostelini alikokuwa akisoma. Zile discussion zikiisha tu ni kuliwa tu. Ni lazima awe mpole ili umtunzie heshima
Hahahahahahahaha, nikiendelea kuandika itakuwa post ya kisiasa ila ukweli mnaujua. Mkishakuwa mabosi bhasi tenaHiyo Ni protocol tuu kuwa first lady anatambulika lakin first man hayupo. Ila wapo very proud nao na wanapenda mfano mama Samia[emoji16][emoji16]
So unafikiri kuonekana kwenye media ndo kutokua selfish?? Wanawake wangapi wanaonyeshwa lakin huko ndan vurumai??Hahahahahahahaha, nikiendelea kuandika itakuwa post ya kisiasa ila ukweli mnaujua. Mkishakuwa mabosi bhasi tena
Waambie hao, yaan Kama housegirls wetu uwiiii kila nyumba wanayoenda wanatembea na watoto, baba, house boys aiseee anaanza tangu ana 12 yrsHivi kuna ambao wametumika zaidi ya hawa mwajuma ndala ndefu wa darasa la 7C?!
Duuh so mafanikio yako ndo limit ya kusudio la Mungu kwa mkeo?? Anaweza kuwa hiyo self employed na nyota yake ikangaa balaa hata wewe uliyeajiriwa usiingie ndan, utamuacha au ndo utamwambia aache hiyo biashara????Kila shetani na mbuyu wake,,kwangu hata kama ni msomi basi awe self employed.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DuhThey have opinions in almost everything, even on how to be a good husband and thinking like one.
Utamu wa mke awe na elimu na hela na bado akupe ful respect Kama mume n wewe umpende, sio maogopwa na wanawake cause labda wapo kwako kwa ajili Hana uwezo afu unatafsiri ni utiii,
Nimeona wanaume wengi wenye insecurity wanaona uoga na umaskin ndo utiii.