Ndugu hiyo 75%, wapi nitakutana nayo?Hali Zenu?
Nimefanikiwa kukutana na karibia robo tatu wanawake niliowahi kusoma nao chuo kikuu.
Japo wana maisha mazuri,
La kushangaza 75% yao hawajaolewa.
Lakini la kushangaza zaidi ni kwamba 90% yao ni walevi(wanakunywa pombe ya bei ghali na/au hata kuvuta sigara).
Nimekaa na kujiuliza, hivi ni kweli asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa au kuvuta sigara ni wasomi au ni coincidence tu?
Kama ni kweli, inachangiwa na nini haswa?
tunaomba muhudumu wa meza hii tu .. Maji yasikauke mezani
tunaomba muhudumu wa meza hii tu .. Maji yasikauke mezani
tunaomba muhudumu wa meza hii tu .. Maji yasikauke mezani
Inategemea sampling yako umeifanyaje. Kama kampani yako ya chuo ilikuwa ya aina hiyo lazima 90 pasent ni walevi.
Swali dogo tuu, vp we hutumii kilevi?
Umesoma chuo gani?